,#UZI
💨KWANINI SIMU YAKO INA KUWA SLOW BAADA YA MIAKA 2? 📱🐢
Wengi tumezoea kununua simu mpya, ikawa spidi 🔥, lakini baada ya muda mfupi inakuwa slow sana.
Hebu tuangalie sababu kuu na suluhisho zake:
🧵🧵👇
Akizungumza kwa njia ya mtandao, Agosti 15, 2025, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Josephat Gwajima amesema Watu wanaojipendekeza (Chawa), silaha yao ni kujipendekeza
Soma https://t.co/RWcIs1EfKe
#JamiiForums#JamiiAfrica#UchaguziMkuu2025#Governance#JFMatukio#Siasa
Rais wa Awamu ya 5, Hayati John Pombe Magufuli aliyasema hayo Agosti 13, 2018, katika uzinduzi wa kitabu cha “I Can, I Must, I Will” cha Hayati Dkt. Reginald Abraham Mengi, uliofanyika katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.
Shiriki Mjadala Huu https://t.co/HURoRsIbm3
#JamiiAfrica #JamiiForums #JFKumbukizi #Siasa
Sana mzee, uje utueleze walivyomuua Magufuli na namna wanavyocollude na wasakatonge wa upinzani kukandamiza watanzania maskini.
Na wakikuua au kukudhuru, tunajua ni Rais @SuluhuSamia na serikali yake. Uzuri ulishakaa jikoni kwao, unawajua vizuri.
#Maslahi
“MIMI NINA GROUP O, HAYO MAGONJWA SIUGUAGI”
JE..? ukiwa na damu kundi O, Magonjwa hayawezi kukugusa?
Au ni porojo tu za mtaani?
Maana naona watu huwa mnatamba na Blood Groop O Kwamba hampati UKIMWI..Kirahisi?
MAJIBU YAKO HAPA: Open Thread 🧵
Nilitegemea mpaka sasa Eng Heris awe amejiuzulu nafasi yake kama rais wa Yanga.
Anataka kutuaminisha kwamba GSM Foundation ndio Young Africans?
Maelezo yaliyotolewa na uongozi wa klabu hayalingani na taarifa ya awali tuliyoipokea kwenye harambee.
— Thread:⤵️
@MSAFWA_OG Kitu ambacho mtoto wa kike huwa hatakagi kutumia ni akili kabisa yani mtazidi sana kuongezeka ma single mothers kwa staili kama hii unajali pesa zake zako ziko waaa😒