Marioo ametumia siku 12 ku shoot video ya wimbo wa Hakuna Matata. Tena ameshoot akiwa maeneo mbalimbali kama vile Kibosho Kilimanjaro, Mji Mkongwe Zanzibar, Serengeti, Soko la Samaki DSM nk. Kwa sasa wimbo huu upo nafasi ya kwanza kwa nyimbo za Bongo zinazotrend zaidi YouTube
@TanzaniaLeaks Sisi watanzania tuna angalia njaa ya leo wakati shida zilizopo ni kubwa kuliko hiyo 20k sasa ikipita ziara kesho yake huna hata 1k
Tusiuze utu wetu kwa pesa sote tunatafuta nivyema kutambua shida zetu zinatatulika kwa miundo mbinu stahiki si kwa kudanganywa