Aujourd’hui est ta dernière danse.
Toi qui nous as tant donné.
Nous aurions dû t’offrir une meilleure fin, mais nous avons échoué.
Mettre des mots sur ce que tu as apporté pendant 14 ans est très difficile, tant tu as été un acteur majeur du renouveau de cette équipe. Les gens n’ont pas toujours su apprécier ta grandeur, mais le temps et l’histoire s’en chargeront…
Merci de m’avoir donné la chance et l’opportunité de représenter mon pays sur la plus grande scène pendant tant d’années.
Je me sens privilégié d’avoir pu être aux côtés de l’une des plus grandes légendes de notre pays, et je ne garde que d’excellents souvenirs de tout ce que nous avons vécu et accompli ensemble.
Je te souhaite le meilleur dans ta nouvelle aventure, et encore merci pour tout ce que tu as apporté à ce maillot qui compte tant pour nous.
👑
🚨🔵 Morgan Rogers will be in London on Monday for medical tests and contract signing.
All documents are ready as #CFC wanted to anticipate Arsenal bid and close in 24 hours.
Rogers will sign until June 2032 with option for further season. 🏴
🚨 EXCLUSIVE: Chelsea reach verbal agreement with Aston Villa to sign Morgan Rogers. Bid of £117m accepted by #AVFC & being finalised. 6+1y contract, medical Monday. #AFC interested but 23yo attacker wanted #CFC; Xabi Alonso instrumental @TheAthleticFC https://t.co/81YbZw7ELc
Kabla ya kutoka asubuhi, soma Zaburi 91, kisha sema:
"Ee Bwana, leo naweka maisha yangu mikononi mwako. Unisitiri chini ya mabawa yako, unilinde na mabaya yote, uniongoze katika kila uamuzi, na unibariki katika kazi za mikono yangu. Amina." 🙏
Amka saa nane za usiku kwa siku saba mfululizo, kisha usali sala hii kwa imani. Mwombe Mungu avunje kila kikwazo, afungue milango iliyofungwa, aondoe kila kinachozuia maendeleo yako, na akupe kibali mbele zake na mbele za watu katika kila jambo unalolifanya:
Ee Mungu Mwenyezi, ninakuja mbele zako kwa jina la Yesu Kristo. Naomba uvunje kila kifungo, uondoe kila kikwazo, na ufungue kila mlango uliofungwa katika maisha yangu. Niongoze katika njia zako, unipe hekima, nguvu, na neema ya kushinda kila changamoto. Nibariki kazi za mikono yangu, unipe kibali katika kazi, biashara, masomo na mahali popote nitakapokwenda. Uniongoze kwenye mapenzi yako, na mapenzi yako yatimizwe katika maisha yangu. Naamini hakuna lisilowezekana kwako. Amina.
Isaya 45:2
"Nami nitakutangulia, na kupasawazisha mahali palipoparuza; nitavunja milango ya shaba, na kuzikata-kata mapingo ya chuma."
NILIAHIDI TUKIFIKA 100M NITAANZISHA SAFARI KUITAFUTA 200M KWA KUANZA NA 2M.
TAYARI NIMEWEKA 2M✅✅✅
SIJAMALIZA NATAKA TUKIFIKA 200M NIJE TENA KUIANZA SAFARI YA 334M KWA MIMI KUWEKA 3M.
KAZI KWENU WANANGU 3M INAWASUBIRI TUITAFUTE 200M CHAP CHAP.
UJUMBE KWENU MLIOCHANGA—CHANGA TENA NA TENA NA TENA BADO HATUJAFIKIA LENGO 334M.
Namba: 0744446969
JINA: CHADEMA HQ.
REPOST 500.
Lakini hebu tuwaze nje ya box, mimi huwa sio mrahisi wa kuamini vitu kwa hisia tu, naangalia sana logic.
Kama kweli event ya miaka 30 ya Bongoflava iliandaliwa kwa lengo la kisiasa, lengo kuu lilikuwa wavune nini?🤔
Hoja za wengi wanasema Mama ilikuwa apige simu katikati ya show!
Kwangu mimi ni hoja lightly sana, yani hata kama wana madhaifu kwenye strategies lakini kuandaa tukio kubwa kama lile kisa tu kutafuta platform ya kupiga simu na kuongea 3minutes…BIG NO!
Wangeweza kutafuta eneo lingine rahisi tu wakajipigisha simu!
Haya tukisema waliandaa ile event ili homeboy wangu aadress ujumbe aliotaka kuadress pia sio kweli, homeboy ile agenda amekuwa akiisema kwenye platform nyingi tu kabla.
Sasa waliandaa ile event ili wavune nini?🤔 Kutangaza bima ya afya kwa wasanii? Mbona bado ni hoja nyepesi….haikuhitaji hata show kubwa vile.
Na tukisema wameandaa ile event ili wapate sympathy waonekane wanawajali wasanii, bado odds zinakataa coz sio mara moja wanafanya events za wasanii kama vile.
Okay tuseme waliandaa ili watuhamishe kwenye agenda fulani!
Je hamisho hilo ni la siku ngapi?
Coz story za show huwa hazizidi giza mbili zinakuwa zimeisha!
Utumie nguvu kubwa kuandaa ile show kisa uhamishe fikra za watu tu kwa masaa 48? Hell No!!
Mimi naamini Inawezekana wazo lilitoka/lilianza kwa wasanii kadhaa kuandaa kitu kile, then wakataka kupata support/Backup/Sponsership ya Gavoo kama ambavyo wangeomba support ya kampuni fulani!
Then kampuni (gavoo) ikataka kupitisha matangazo ya product zake katikati ya event!!
Kitu ambacho pia hakikufanikiwa!!
Finally watu walifurahia show!!
Kuhusu mapungufu,
Fiesta ilikuwa na mapungufu hata walipoleta wasanii wa 🇺🇸.
Sauti za busara ina mapungufu.
Wasafi festival & Komaa Concert hadi Killi Music Tour show zilikuwa na mapungufu!!
Mtu anishawishi Gavoo ilikuwa nyuma ya ile show ili wavune nini?
Chagueni wenyewe sasa achukue Yamal ( Mtaweza kuvumilia Shombo zake ? )
Au kubalini yaishe achukue Messi ( amalize boli lake na Ballon D'or nyingine ? )
Ugali moto , mboga moto😀😀😀
Kwasasa mjadala ni watu kuichangia CHADEMA BRO (TUPO NJE YA MUDA).
Mimi nimeapa mbele ya watanzania kuwa lazima tufikie LENGO la kupata MILIONI 340.
Nilifungulia kampeni hii kwa kuchangia 1M na sasa tuna 50M ndani ya masaa 96.
Tukifikisha 100M—nitachangia tena 2M kuanzisha safari ya kuisaka 200M.
Tukifikisha 200M—Nitachangia tena 3M kuanzisha safari ya kuisaka 340M.
Bro inawezekana hii—kama ulichangia jana fanya tena jua hatujamaliza. Kila mtu aweke nadhiri yake kwenye kukamilisha hili tunaweza wanangu.
REPOST 200.
Tuma mchango wako sasa.
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Kwa wafuasi wote wa CHADEMA na mageuzi, wapenda haki, ukweli na demokrasia nchini.
Baada ya Katibu Mkuu wetu, John Mnyika, kutangaza maazimio ya Chama chetu, ikiwa ni pamoja na kikao cha Baraza Kuu kinachotarajiwa kufanyika siku sio nyingi , vilevile alizindua mpango maalumu wa uchangiaji wa fedha kupitia Tone Tone.
Kwa siku kadhaa sasa, kampeni hii imeendelea kwa nguvu kubwa mitandaoni, ikibebwa na viongozi wetu, wanachama, wananchi pamoja na wana harakati mbalimbali. Nawashukuru kwa dhati kabisa wote mlioamua kubeba jukumu hili; kuanzia anayehamasisha michango hadi anayetoa mchango wake. Kila mmoja wenu ni sehemu ya historia inayoandikwa.
Hata hivyo, pamoja na shukrani hizi, kuna ukweli ambao hatupaswi kuogopa kuusema. Wakati mwingine ukweli huwa ni sehemu muhimu ya kujitathmini kama taasisi na kama watu wenye maono ya pamoja.
CHADEMA ni Chama chenye wafuasi wengi kuliko Chama chochote cha siasa nchini. Wakati wa operesheni ya CHADEMA ni Msingi tulikuwa na kanzidata ya wanachama zaidi ya milioni saba. Kwa tafiti na tathmini zetu za sasa, si jambo la kupindukia kusema kuwa wapenzi wa demokrasia, haki na mabadiliko nchini wanafikia au hata kuzidi asilimia 65 ya Watanzania wazima. Kama tunakubaliana na ukweli huo, basi ni lazima tukubaliane pia na wajibu unaoambatana nao.
CHADEMA haipaswi kuwa na upungufu wa fedha za kuendesha shughuli zake. Kama watu milioni moja tu wataamua kuchanga shilingi 1,000 kila mwezi, Chama chetu kitakuwa kinapata zaidi ya shilingi bilioni moja kila mwezi. Katika kampeni hii ya kuhakikisha kikao cha Baraza Kuu kinafanyika, watu laki tano pekee wakichanga shilingi 2,000 kila mmoja, tayari watakuwa wamechangia takribani shilingi bilioni moja kwa Chama chao.
Hii ina maana kuwa changamoto yetu siyo idadi ya watu, bali ni kiwango cha dhamira yetu (commitment) katika kuwekeza kwenye kile tunachokiamini. Ni lazima tujifunze kwamba mapambano ya demokrasia yana gharama zake. Haki ina gharama yake. Mageuzi yana gharama yake. Hakuna taasisi inayoweza kuwa huru kama utegemezi wake unatoka mahali pengine isipokuwa kwa watu wake wenyewe. Vyama vikubwa vya siasa duniani vimejengwa kwa michango midogo lakini ya kudumu kutoka kwa wananchi wanaoviamini. Nasi tunapaswa kujenga utamaduni huo.
Tusifanye uchangiaji kuwa jambo la misimu au la kusubiri vikao maalumu. Uchaguzi wa mwaka 2025 ulipita na Chama chetu hakikushiriki. Hivyo, hatuna ruzuku tunayoitegemea. Tunachokitegemea ni imani, mshikamano na mchango wa wananchi wenyewe. Huo ndio mtaji mkubwa wa CHADEMA.
Ni jambo lisilo na mantiki kusema tuna mamilioni ya wafuasi huku tukishindwa kukusanya fedha za kuendesha shughuli zetu za msingi. Tukitaka kuwa Chama kikubwa, imara na huru, ni lazima tukubali kubeba gharama za ukubwa huo. Tusitarajie wachache wabebe jukumu ambalo mamilioni yetu yanaweza kulifanya kwa wepesi kabisa.
Ni rai yangu kwa kila mwanachama, mfuasi na mpenda mageuzi popote alipo, afanye jukumu hili kuwa sehemu ya maisha yake ya kisiasa. Elfu moja yako inaweza kuonekana ni ndogo, lakini inapoungana na elfu moja za wengine, hujenga taasisi kubwa. Michango yetu midogo ndiyo itakayolinda uhuru wa maamuzi yetu na uimara wa Chama chetu.
Tusichangie kwa sababu tunaombwa kuchangia. Tuchangie kwa sababu tunaamini katika Tanzania yenye haki, demokrasia na utawala wa sheria. Tuchangie kwa sababu tunaamini kuwa mageuzi tunayoyatamani hayawezi kujengwa kwa maneno pekee, bali kwa kujitoa kwetu kwa vitendo.
Your small donation can make a very big change.
Nawashukuru sana kwa upendo wenu, mshikamano wenu na imani yenu katika mapambano haya. Historia ya mageuzi huandikwa na watu wanaoamua kufanya zaidi ya kushangilia. Naamini tutafanya zaidi ya tuliyoyafanya jana.
Mungu akubariki , asanteni kwa wale wote mliochanga na mnaoendelea kuchanga na ni wito wangu kwa kila mtu kujali kwa vitendo jukumu hili muhimu , tena sio mara moja bali kila wakati.