Skuiizi Big company haziongeziii ajira..!Ndokwanza wanawaza jinsi ya kupunguza wafanyakazii kulingana na Maendeleo ya teknonojia ili kuongeza profit.....! So ni new Companya tuu!Ndozenye Ajira Ko ni vzr Vijana Tuwanze fanya Biashara ili tuweze Zalishaa NEW COMPANYNyingiiii
Trump amesema makubaliano na Iran yatasainiwa Jumapili. Iran imesema makubaliano yamefikiwa katika masuala mengi japo hawajathibitisha kuhusu siku ya kusaini makubaliano hayo. Pia Trump amesema baada ya kusaini makubaliano hayo mfereji wa Hormuz utakuwa wazi rasmi kwa watu wote