In 2011, Denzel Washington was asked to give a commencement speech at the University of Pennsylvania.
Although the entire message is quite good, a single 54-second segment changed the way I think about life...
Wanaume, tuwe na mazoea ya kujitunza na kujipenda baada ya kufanya kazi na kupata chochote kitu.
Chukua likizo. Nunua simu kali. Vaa vizuri. Umepambana, umestahili. Tumia pesa zako kwa ajili yako bila kuhisi kama unakosea..
Kataa unyonge.