Ukitaka kufika mbali na watu, kuna vitu simple sana:
Fika kwa muda.
Ukiahidi kitu, kifanye.
Ukiona tatizo, njoo na solution.
Usiwe chanzo cha drama kila siku. 😂
Jibu watu.
Kuwa mtu wa kuaminika.
Na zaidi ya yote, Sali na kuwa na roho nzuri 🙏🏽
Huhitaji kuwa genius.
Kuwa tu mtu ambaye uwepo wako unarahisisha maisha ya wengine, sio kuyaongeza stress.
Tuchukue vijana toka shule za vipaji kama Kibaha, Ilboru, Mzumbe, Tabora nk, tuwasimamie wapate vyuo vya nje vinavyo ongoza katika Teknolojia, wasome wapate ujuzi kisha tuwarudishe nchini tuwape nyezo wanazohitaji ili wafanye mabadiliko makubwa katika Teknlojia na Uhandisi nchini
Act poor.
Act broke.
Act like a useless man.
Avoid the temptation of showing how clever you are. It is far more clever to conceal the mechanisms of your cleverness.
Degree unazoweza kusoma YouTube for FREE na zikakukomboa for a lifetime
-Artificial Intelligence & Machine Learning
-Digital Marketing, UX/UI & Creative Tech
-Financial Technology (FinTech) & Blockchain
-Cybersecurity & Ethical Hacking
-Biotechnology & Genetic Engineering
Dah🤔
I asked my mentor:
“ How To Make The Greatest Comeback Of My Life?”
He replied:
“ Become a ghost “ Go Ghost: upgrade Your Life in Silence
I again asked “ How to have a successful ghost mode season?”
He replied:
Here’s How To Go Ghost Mode:
BREAKING NEWS: Neverrrrrrrr... Neverrrrrrrr... Neverrrrrrrrrrrrrrrrrrrr look desperate in life. Remain calm during hard times. Understand it's just your time to suffer like every great man before you. You're a man.
Kuna kitu nawaza kuhusu savings, kwanini tusi treat savings kama vile tunavyofanyaga "bad financial decisions"
Kama kuna siku unaamuaga tuu kutumia laki 2 ikaisha, inawezekana siku moja pia ukaamua kusave laki na ukateseka kama vile "huna kitu" moments?? 😀
I checked my wife’s “Recently Deleted” photos.
847 photos of me.
All were deleted in the last month.
Our wedding photos.
Vacation photos.
Everything.
When I asked her why?
This is what she responds…
Adui wa Kweli ni MINDSET na Kutokuwa Exposed na Informations Vya Kutosha
Nakumbuka 2017 Wakati Nimeajiriwa Voda—nilikutana na Post ya Dr. Said Saidi Instagram Yenye Headline inayosema:
“Jinsi Ninavyotengeneza Zaidi ya Tshs 969,500 Kwa Siku Fb & Insta”👇🏼
BRO TO BRO
Kulala na wanawake wengi si mafanikio, wala hakuna tuzo yoyote ya kulala na wanawake wengi zaidi ya kuambulia maradhi.
Mafanikio makubwa kwa mwanaume ni kupata mwanamke mmoja ambaye watavulimiana, wataheshimiana, na kujaliana, ili kupambana na maisha pamoja.
Kumbuka Mwanaume hodari anajua kuwa ndoto zake hazitimii kwa kulala na wanawake wengi, bali kwa kufanya kazi bila kukoma.
UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAISHA
1. Hakuna anayejali sana kuhusu maisha yako kama unavyodhani kila mtu yuko bize na yake.
2. Kama huna thamani unayoonyesha, dunia haitakutambua.
3. Dunia haijali hisia zako, mapito yako wala maumivu yako inajali matokeo yako
4. Hata watu wa karibu wanaweza kukuacha pale wanapoona hufai tena kwenye maisha yao.
5. Fursa hazigongi mlango mara mbili ukisita sana, zinapita shwaaa
6. Kujionea huruma hakubadilishi chochote kuchukua hatua ndiyo kunabadilisha chochote
7. Hakuna chochote kitachomtokea mtu akishindwa kukusaidia. Pambana upate chako
8. Watu watakuamini zaidi matokeo yako kuliko maneno yako.
9. Hakuna anayekudai mafanikio ni deni unalojidai mwenyewe.
10. Mwisho wa siku, matokeo ya maisha yako ni jumla ya maamuzi yako, sio bahati.
Moja kati UKWELI mchungu niliowahi kuambiwa, ukanisaidia ni huu;
"Go get your life in order;
----->Be organized".
Ni kweli, ilinichoma sana mithili ya kijinga cha moto kwenye paja, LAKINI
Pengine, ndiyo ukweli pekee ambao wakati ule nilihitaji kuambiwa.
Iko hivi, "Ukitaka kujaza maji kwenye ndoo iliyojaa mchanga, inabidi kwanza umwage mchanga na kuisafisha".
'You can't fill what is already full".
Na hii ni kanuni ambayo inafanya kazi kiroho, kimwili, kiakili, au kihisia.
Ni lazima ujitahidi kufanya - "Decluttering", na kuwa organized kuanzia katika fikra mpaka kwenye mazingira halisi unayofanyia kazi.
Na wataalam wanasema;
•Anza na mazingira kwanza.
•Panga eneo lako la kazi.
•Weka vitu katika mpangilio mzuri.
•Ondoa vitu ambavyo huvihitaji.
Kisha;
•Anza kupanga ratiba au to do list.
Jim Rohn anasema, "Never start your day until you finish it on the paper".
Kwamba, kamwe usikubali kuanza siku yako kabla ya kumalizana nayo kwenye karatasi. Akimaanisha;
•Plan your day ahead. Weka priority katika utendaji wako. Hakikisha unapiga hatua kuelekea kutimiza MALENGO yako.
Muda mwingine, tunashindwa tu kuona DIRECTION ya tunaokotaka kwenda kwa sababu wingu la vitu ambavyo,...
....haviko organized kwenye maisha yetu kuanzia akilini, kiroho, kihisia mpaka kwenye mazingira halisi tunayoishi kila siku iwe nyumbani, kazini, biashara etc.
Na hii inahitaji NIDHAMU ya kila siku. Na ukijenga hii NIDHAMU inaleta RIPPLE EFFECT kwenye maeneo mengine.
Na usiifanye kama Switch ya kuwasha kila wakati, inabidi iwe "Muscle" ambayo unaijenga kila siku.
Hata Mungu anapenda order na utaratibu. Kila kitu kimeumbwa kwa mpangilio na kuwekwa kwenye order.
Kuanzia siku ya 1 mpaka ya 7 vitu viliumbwa katika mpangilio.
Kuna muda tunaweza kuhisi DELAY kumbe Mungu anasubiria, uweke vitu katika order (Create space) ili unachokitaka kiweze kutokea.
Kwa hiyo anza leo. Hata kama ni kwa kupangilia mafaili ofisini, au sehumu ya kuweka viatu nyumbani. Anza!
Kisha, Declutter your mind, body, spirit and emotions.
Daima hakikisha unajitahidi kuwa na 'Clarity' katika kitu unachokifanya.
Nakutakia kila la kheri.
EFM.
Kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu ni piece muhimu katika strategic political warfare.
Kulingana na timing ya kesi hii, inaweza kuwa ni mbinu ya kudhoofisha au test of resilience kwa kiongozi huyu.
Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, tarehe 09 Februari 2026, itakuwa ni ground zero kwa political maneuvering, ambapo mashabiki na wapinzani watafungua Macho na Masikio yao kwa outcome ya kesi hii.
Kujitokeza kwa wingi sio tu kujua sheria, bali pia ni kujenga public sentiment na political support.
Mhe. Lissu, kama leader mwenye strategic foresight, anaweza kutumia kesi hii kama jukwaa la public diplomacy.
Kutoa counterintelligence kwa wafuasi wake na kuwaonyesha manipulation ya kisiasa inayotokea.
Kama theatrics za kisiasa zinavyosema, hii ni stage kubwa kwa "darasa la sheria" ambalo litakuwa na layers za political theater, ambapo wananchi watapata lessons za legitimacy na resilience.
Hii siyo kesi ya sheria tu ni sehemu ya broader battle za kiintelijensia ambapo public perception na political capital vitachukuliwa kama weapons za kifedha na kisiasa.
Hivyo, kujitokeza kwa wingi ni njia ya kuonyesha strength in numbers na kuongeza momentum kwa ajili ya political victory.