@privaldinho Mbona unatumia nguvu sana kuongelea hiyo match yenu? Huwezi acha wachezaji wa ushindani ambao wametoka kupata matokeo na @JKT_Tanzania unakuja kuweka wachezaji ambao huwa hawaanzi first eleven. Kikubwa mlishinda ila match kama ulivyoona
@eli_njex @Sukayotz Kabisa huyu @Sukayotz ni CEO wa Machizi, hawa wamechora picha ya Simba, na sio wamechora Logo ya Simba. Hivi Simba yupo Tz peke yake ? Jaribu uwe unatumia akili kidogo
Chukua TAHADHAR afu RT wanetu WASANUKE.
Usikubali kupewa CHAKULA na mtu USIEMJUA mkiwa kweny usafiri wa UMMA,hasa kweny BODABODA, DALADALA na MABASI ya MIKOANI.
Usikubali kula vyakula kama KARANGA, KOROSHO ama BISKUTI.
Watu wengi WAMEIBIWA kwa kutumia NJIA hizo.
Ukiwa kweny mishe zako kataa SHOBO za mtu kujifanya anakuuliza ama anataka kuwa karibu na ww ni MTEGO huo.