Refined yet FEARLESS, BOLD yet GRACEFUL, STRENGTH in spirit, ELEGANCE in motion, POWER in UNITY.โจ๐๐ช๐พ
Happy Womenโs Day.๐ธ
.
#WomensDay2025
Siku ya jumamosi,tarehe 13/07/2024 nilipata wasaha wa kuhudhuria event iliyoandaliwa na vijana mahiri ikiongozwa na @MsokaEmmanuel pamoja na his team.
.
Ilikuwa wasaa poa sana wa ku learn and unlearn vitu kadha wa kadhaa.
Asanteni sana kwa mualiko wa kuwa mmoja wa wazungumzaji.
INTIMATE BY LILLY STORE is officially OPENโฆ
.
Tunapatikana Kijitonyama-Mabatini,opposite na njia ya kwenda Shishi food.
.
Contacts:
0710 518 664
.
Karibuni sana,i can not wait to serve yโall.โค๏ธ
Words cannot fully express the depth of my gratitude to everyone who contributed to the triumph of Tanzania Youth Workshop. To r speakers, @vivian_j_joseph@fizodaily@jessicamshama@IamlillysL @najma_paul @GetrudeMligo & Eben your insights and passion ignited a fire in all of us
Hongera sana kipenzi @IamlillysL ๐๐๐พkwa kuzindua duka lako #IntimateByLilly linalouza bidhaa mbalimbali za vipodozi, pia zinazohusu masuala ya afya ya uke/uume & uzazi kwa ujumla lililopo Kijitonyama mabatini mkabala na Shishifood.
.
Intimate by Lilly; Your body is your temple.
Hii unaijua??
๐ฃ๏ธ Jifunze namna majukwaa ya kidijitali yanavyoweza kutumika kuzungumza na kuvunja ukimya juu ya Hedhi salama, Afya ya uzazi na Mahusiano.
๐งBofya link hapo chini ili kusikiliza mazungumzo haya muhimu na @IamlillysL
๐ https://t.co/O9RIfPxWCD
#DIWI