Mtandao ambao hautakwama na wala kusumbua ni Sala/Maombi kwa Mungu. Maombi/Sala haubadilisha maisha .
Mungu Anapatikana 24/7.....siku zote za Maisha yetu.
“Heavenly Father,
Please calm my mind and give peace to my heart.
Take away my stress, fear, and worries.
Give me strength for today and hope for tomorrow.
Help me trust You in every situation.
Amen.”
TODAY, most MEN use Viagra to boost their libido, but it's a TEMPORARY effect and it has side effects.
Here are 9 NATURAL alternatives to Viagra that I recommend (no pills).
1. Ginger
#HekimaZaMzeeMwaihabi
Mzee wangu amekuwa ni mtu wa kutoa misaada kwa ndugu zake tangu zamani kabla hajaoa.
Utakuta nyumbani amelea wanandugu (watoto wa wadogo zake na ndugu zake). Ukija home ukakuta familia ya watu 12 sio ajabu. Na wote anawalipia Ada kwa wakati.
Hiki kitu kilinichanganya sana, ilibidi nimuulize Mzee Mwaihabi, aliwezaje kumudu kulea watoto wote hao na ndugu zake kwa kuwalipia ada na chakula ndani hakikauki?
Majibu yake yalikuwa Darasa jipya sana kwangu. Japo majibu yalikuwa marefu sana, ila nitavunja vunja kwa points;
1. NIA yake ilikuwa na Ukoo wa Kisomi. Alitamani sana Wadogo zake na watoto wa wadogo zake wawe na mafanikio ya Kielimu na kiuchumi kwa kupata kazi.
2. Aliuchikia sana Umasikini ndio maana aliona akiwavuta ndugu zake nyumbani atawalea kwa ukaribu sana.
3. Kuhusu Chakula, Badala ya kununua chakula, aliona Bora kuwa na mashamba ya kulima chakula cha kuweza ku-accomodate mwaka mzima. Ndiyo maana msimu wa shamba, kila mtu alikuwa mhusika. Hakuna kuleta kibarua. Chakula kilichopatikana kiliweza kulisha mwaka mzima.
4. Kila mtu alifundishwa kujitegemea kwa shughuli mdogo ndogo, ndio maana humo ndani wapo waliouza matunda kibarazani, wapo waliojifunza kushona nguo, n.k. Hii ilisaidia Kila kujimudu kwa vitu vidogo vidogo binafsi.
5. Aliamua kufuga Ng'ombe ili swala la mbolea shambani lisiwe shida, na maziwa ya Kila siku yapatikane na mengine yauzwe.
6. Alifungua biashara za side hustles kama Stationery ili kuongeza chanzo cha kipato.
Aliniambia kwamba, "Ukiona mtu analalamika kusema kwamba Ukiwa mwema sana, utakufa Umasikini, Ujue Hajui kuplan VIPAUMBELE VYA MAISHA."
"Swala la kuwa Mwema na kutofanikiwa ni matokeo ya kutoa bila mpangilio maalum wa Kipato chako. Kama ni hivyo basi leo tungekuwa Mafukara."
"Ukisaidia watu usisubiri Kulipwa na hao watu, Bali ifanye sadaka ili Mungu akulipe Kwa njia zake"