Watu wengi mashuhuri walienda kushuhudia mechi ya USA dhidi ya Paraguay. Miongoni mwao ni pamoja na Bill Gates, Tom Cruise, David Beckham, Gianni Infantino, Marco Rubio, Leonardo DiCaprio nakadhalika. USA ilicheza vizuri mnoo na ikapata ushindi wa kishindo wa magoli manne.
🚨💣 EXCLUSIVE: Real Madrid reach verbal agreement to sign Marc Cucurella from Chelsea, HERE WE GO!
Verbal agreement in place between all parties, player too — he’s the left back wanted by Mourinho. Details to follow.
Cucurella leaves #CFC and joins Madrid after World Cup. ⚪️🇪🇸
Mwaka huu Kwaresma na Ramadan zinaanza siku moja. Hii huwa inatokea kwa nadra sana, mara ya mwisho karibu itokee tena mwaka 1993 yaani zaidi ya miaka 30 iliyopita. Hili litukumbushe kuwa licha ya tofauti zetu za imani sote tuna wajibu wa kuacha mabaya, kuomba toba na kumcha MUNGU
🚨🏴 Barcelona want to keep Marcus Rashford beyond this season, planning to negotiate and reduce €30m buy option from Man United.
#MUFC insist for Rashford fixed price to be received in full, €30m — salary also a topic to discuss over next months.
🎥➕ https://t.co/IbTtBOO9yq
🚨🔴⚪️ Ademola Lookman to Atlético Madrid, here we go! The agreement is in place on every detail.
€35m fixed fee, €5m add-ons to Atalanta and long term deal agreed by Lookman after decision last night.
Atlético, planning now for travel and medical next for the Nigerian. 🇳🇬
🚨🏆 Neymar Jr: “We’re going to do the possible and also impossible to bring the World Cup to Brazil. In July you can hold me accountable. Hey Ancelotti, help us!”, Neymar says.
“If we get to the final… I 𝒑𝒓𝒐𝒎𝒊𝒔𝒆 I’ll score a goal”. 🔮
Maelfu ya wananchi wa Bangladesh wanaandamana kufuatia tukio la kuuawa kwa kupigwa risasi kwa Sharif Osman Hadi. Bwana Sharif alikuwa kiongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu aliyeongoza maaandamano yaliyomuondoa madarakani Waziri mkuu wa taifa hilo 2024. Watu wanasema haki itendeke.
🚨 Vinicius Jr: “We know that Kylian is a very important player for us and that he has scored many goals this season. We hope he will help us soon, and today we have to trust in Gonzalo and Rodrygo, who will play and give their all.”
Alisoma Peramiho girls na Chuo cha Ualimu Korogwe. Akafundisha Songea Girls na VETA kisha akaingia kwenye siasa. Akawa Mbunge kwa takribani miaka 25 akiwakilisha jimbo la Peramiho, pia akahudumu kama Waziri na Naibu waziri wa karibu Wizara 5 tofauti. Jenista Mhagama amefariki.
🚨 Mbappé on scoring 400 goals: “400 goals don’t impress people. I want to make my mark in football history, so I have to score at least 400 more”.
“There is one with 950+ goals, and another with 900+, 400 isn’t enough to stay in the circle of players who shock people”.