Ukienda Malinyi ukachukua mchele kwa 1500/= kwa kilo. Ukasafirisha Dar kwa bei ya 200 kwa kilo. Utakuwa umenunua kwa 1700/= kwa kilo. Ukifikisha Dar ukauza kwa 2100/= ina maana kwa kila kila kilo ni 400 faida. Kwa gunia la 100kg ni 40,000/=. Gunia 100 una 4,000,000/=.
@zoetjesheeftX Aiseeh,, hii imeshanikuta mimi baba aliniambia nikatoe hela kwenye simu yake na password akanipa, oyaah naludi home namkuta amefariki daaaah!!!