@George_Ambangil@evarist_massawe Ww ungepewa hii team ungemaliza nafasi ya ngapi?? Unajiona kama ww ndio unajua kila kiitu basi omba kazi united ufundishe ww.
Kuna kitu kinaitwa Neema. Ikikushukia, haiangalii elimu yako wala ukoo unaotoka. Inabadilisha kabisa maisha yako. Ukiona ujumbe huu retweet na neema ya Bwana ikutembelee.