Wenyeji wenza wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA 2026, Marekani wameanza michuano hiyo kwa kishindo baada ya kuchomoza na ushindi wa 4-1 dhidi ya Paraguay kwenye wa kwanza wa kundi D katika dimba la Los Angeles, Inglewood.
FT: Marekani 🇺🇸 4-1 🇵🇾 Paraguay
⚽ 07' Bobadilla (OG)
⚽ 31' Balogun
⚽ 45+5 Balogun
⚽ 90+8' Reyna
⚽ 73' Mauricio
#KitengeSports