MWANAHALISI wamesitishiwa LESENI kwa miezi sita sababu ya kugoma kufanya uandishi wa habari wa ukasuku. Walikataa kuwa sehemu ya kumsifia Samia na serikali yake iliyojaa damu za watu. Solidarity with them. Haya mambo ya kijinga YATAKWISHWA na tutaishi kama watu huru.
Kuna watu wengi, hasa vijana, walioko katika magereza mbalimbali nchini kwa mashitaka ya ugaidi. Ni rahisi sana kuwasahau tunapokosa huruma na uelewa kama jamii. Majina yao si makubwa. Wengine ni wanafunzi ambao leo hawajui hata hatma ya elimu na maisha yao itakuwaje.
Lakini nyuma ya kila jina kuna mwanadamu, familia, ndoto na maisha yanayosubiri kuendelea.Tusiruhusu muda na ukimya viwafute kwenye fikra zetu. Tuendelee kuwakumbuka, kuwauliza, na kudai kwamba haki itendeke kwa kila mmoja wao.
Kwa sababu tukiwasaau wale walioko nyuma ya magereza ,tutakuwa tunapoteza kitu muhimu sana ndani yetu kama jamii.
Na tukiwasaau kabisa, tofauti yetu na wale tuliowapinga kwa kuwanyima wengine haki itakuwa nini?
FIKRA zetu zinapaswa kuwa juu yao.
โผ๏ธ๐จMAJAJI MSIKUBALI MAELEKEZO KUTOKA TISS NA ABDULโผ๏ธ
Jaji Dunstan Ndunguru (Kiongozi wa jopo)
Jaji James Karayemaha
Jaji Ferdinand Kiwonde
Taarifa za uhakika ni kuwa leo mnakabidhiwa maamuzi yaliyoandikwa na TISS kwa maelekezo ya Abdulhalim Ameir Hafidh ya kusema Tundu Lissu ana kesi ya kujibu!
Na pia serikali inatumatuma watu wamwambie Lissu eti asilete mashahidi wengi maana majaji hawawezi kumhukumu so asijitetee sana kesi iishie mapema!
Sasa ninawashauri na kuwaonya:
๐๐ฝ Kila mtu amefuatilia kesi hii na ni dhahiri kuwa Lissu HANA KESI YA KUJIBU kwani hata mashahidi wamekinzana! Serikali ilidai alichapisha na kurekodi maneno yenye viashiria vya uhaini/uchochezi - ila shahidi wa Jambo Tv ameeleza si kweli wala Lissu hahusiki na kuna mazagazaga kibao inayoonyesha hii kesi imesha collapse
๐๐ฝ Abdulhalim hana wadhifa yoyote na TISS hawatakiwi kuingilia uhuru wa mahakama! Mna JUKUMU la kulinda heshima na wadhifa wa mahakama ila pia kumbukeni HISTORIA itawakumbuka ninyi kuwa mliandika hiyo judgement siyo TISS! Mnafiikiri mtaendelea kuwa hapo bila uwajibikaji!? Forget it! This is the end!
๐๐ฝ Mnaomshauri Lissu aipeleke mashahidi wengi au asijitetee ili kesi iishe alafu hawatamkuta na hatia wala kumfunga eleweni sisi si wajinga na Lissu ana akili zaidi yetu! Hawezi kukubali! Mkisema majaji kuwa Lissu ana kesi ya kujibu ina maana mmeshawishika na ushahidi wa serikali na mnahitaji Lissu ajitetee na kuwashawishi haswa ili msimhukumu! Kama mmepokea maelekezo leo ya Abdul kuna guarantee gani hamtapokea maelekezo ya hukumu? Lissu atawaita mashahidi wake wote incl Samia Suluhu, Philip Mpango hata kama itamchukua miaka 6 au 10! Hakuna kukubali eti mkute na hatia alafu kimama atoe msamaha! Tunaelewa mnachofanya!
๐๐ฝ Tuko mwisho wa CCM na Samia Suluhu - nyie majaji nawaambia kwa uhakika Samia hawawezi kuwalinda mkifanya madudu kwa maelekezo ya form four failure kutoka Kizimkazi! Nyie mna jukumu moja tu - kusimama katika haki na MSIKUBALI KUTUMIKA! Ijumaa ingieni na someni hukumu yenu siyo ya TISS!
Familia za hawa majaji waongee nao tusijesikia mmepata fedheha na depression kama former CJ Chande mkiamua kupokea maelekezo! Nchi imevimba!
Eniwei #FreeTunduLissuNow na #TutaelewanaTu
๐จ Kwa mara ya kwanza msimu huu, Selemani Mwalimu ๐น๐ฟ na Stephane Aziz KI ๐ง๐ซ leo watafanya mazoezi Avic Town wakiwa na Young Africans ๐ฐ
Kituo kinachofuata ni dhidi ya Coastal Union Agosti 20 katika uwanja wa KMC.
Huwa naenda mahakamani hasa kwenye hii kesi ya Lisu, ukiwa unasikiliza mawakili wa serikali unaweza Dhani Sheria ni ngumu sana, ila ukimsikiliza Lisu unaweza pata feeling ya kutohitaji wakili mahakamani kwenye case๐, he's GENIUS.
Anatumia lugha nyepesi mno ๐
Hivi viwanja vidogo vidogo vinavyojengwa hapa Arusha kwa ajili ya ku support AFCON vina sura ya deal deal hivi!
Hakuna eneo ambalo mara nyingi linahitaji uangalizi mkubwa wa fedha za umma kama sekta ya ujenzi. Ndiyo maana najiuliza, kama hitaji lilikuwa ni kuongeza viwanja, kwa nini Serikali isingewekeza na kuviimarisha viwanja vya shule vilivyopo hapa Jijini Arusha na maeneo ya nje ya mji ?
Badala yake, tunaona ujenzi mpya kila kona. Swali ni, hii ni mipango mizuri ya miundombinu au kuna maswali mazito ya matumizi ya fedha za umma yanayohitaji majibu?
Kuna mambo mengi yanayohitaji uwazi hapa. Na kama kuna uchafu wowote unaoendelea, si ajabu siku moja baadhi ya watu wakajikuta wanatoa maelezo mbele ya vyombo vya sheria.
AFCON iache legacy ya maendeleo, si legacy ya deals.
Amepata ajali amefariki Kibanda cha Mkaa.
Alipanda Boda boda zikagongana kibanda cha Mkaa.
Tumesaidia kumfikisha hospital katika kutetea Uhai wake.
Mola kampenda Zaidi. MLOGANZILA HOSPITAL.
0718928442 mtoa msaada.
Anafanya kazi PCCB naomba tusambaze ndugu zake waone! C & P
Wanachama wa Simba wamemjia juu Mzabuni wa Klabu hiyo Jayrutty huku wakimtaka atimize yale aliyoahidi kwenye Mkataba wake na Simba ikiwemo kila mwaka kusajili mchezaji mmoja.
#KitengeSports
Tunategemea ruling ya submission of no case to answer kutoka kwa Majaji watatu isichukue zaidi ya siku mbili.
Kwakuwa hakuna kesi wala msingi wake.
Tunategemea Lissu atakuwa uraiani na tutakuwa na tafrija.
Lakini, mkitaka, tuitieni shahidi wetu wa kwanza Samia Suluhu adodoswe!
๐ช๐ฝ๐ฅLissu kasema โUnafanya kazi nzuri Makamu peleka moto๐ฅ๐ฅ
Sasa hapohapo nimepewa taarifa na chanzo moja cha uhakika wa ndani kuwa akina Abduli wanataka maamuzi yaahirishwe ili wamdake @HecheJohn
Mi nipo tayari kumpa Jaji Mkuu Masaju benefit of doubt kuwa hatakubali huu upumbavu wa form four failures wa Kizimkazi - do the right thing CJ โ๐ฝ usitutibue dakika hizi za majeruhi!
Nchi imevimba hii hatuhitaji more drama - tunahitaji busara hata kidogo! Mtu mzima anachutama anaacha jambo lipite
Ijumaa tumalize hii aibu ya dunia na nyie kwenye mfumo msiruhusu drama nyingine ya kipumbavu!
Abdul na wajinga wote wadhibitiwe
#FreeTunduLissuNow
#TutaelewanaTu
Ordinarily, submission of no case to answer inafanyika kwa maandishi, hususani ktk mashauri kama Uhaini, Ugaidi, etc.
Lakini leo SC Tundu AM Lissu amefanya oral submission, tena kwa kushitukizwa, na kafanya kwa ustadi na sanaa ya hali ya juu sana.
TAL My GOAT!โ๏ธ
โWaheshimiwa Majaji, kama mkiridhika kwamba hakuna kesi ya kujibu hapa kwa kuwa hakuna โprima facieโ, waheshimiwa majaji naomba mtoe hayo majibu leo hapa mbele ya Mahakama hii. Kuhusu kuandika hukumu yenu mtatuita hapa tena siku nyingine ili kuwasikiliza. Hakuna sababu nyingine ya msingi ya kunirudisha gereza la Ukonga. Nimeishi gerezani kwa siku 495 na leo itakuwa siku ya 496. Ni siku nyingi sana na hakuna sababu nyingine ya kuongeza hata siku moja katika mateso ambayo nimepitishwa kwa mwaka mmoja na miezi minne. Hakuna sababu ya msingi kisheria kunirudisha tena gereza la Ukonga. Nimeeleza hapo juu, nini mnaweza kufanya kwa kufuata vifungu vya sheria..,โ - Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu Tanzania, 17 August 2026