Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ametangaza kujiondoa rasmi katika kinyangโanyiro cha kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine tena, leo tarehe 7 Novemba 2025.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya karibu na Spika huyo zimethibitisha uamuzi huo.
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiombewa na Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango, mara baada ya makabidhiano ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu Chamwino Dodoma, leo tarehe 04 Nov. 2025
Taarifa Kwa Umma Kuhusu mchakato wa ndani ya Chama wa uteuzi wa wagombea katika nafazi Mbalimbali kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025.
@official_nyamnungajr
Teacher on Duty
10 April, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo pamoja wa wageni mbalimbali wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo za Wasanii wa Komedi Tanzania (TCA) katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakuu wa Nchi mbalimbali na Viongozi wengine wakishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Masuala Nishati katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerer (JNICC) Dar es Salaam 28 Januari, 2025.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (CHADEMA), Prof. Raymond Mosha amemtangaza Lissu kuwa mwenyekiti mpya CHADEMA baada ya kushinda kwa kura 513 sawa na asilimia 51.5 dhidi ya 482 alizopata Mheshimiwa Freeman Mbowe aliyechuana naye kwa ukaribu.
@official_nyamnungajr
Teacher on Duty
Donald John Trump ambaye ni Rais wa 45 wa taifa la Marekani akila kiapo cha kuwa Rais wa 47 wa nchi hiyo. Kiapo hicho kimeambatana na mizinga 21 ya heshima iliyopigwa nje ya ukumbi kilipofanyika kiapo hicho.
@official_nyamnungajr
Teacher on Duty
20 January, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi Mgombea Mwenza
Mwenyekiti wa CCM na mgombea urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi utakaofanyika Oktoba 2025
@official_nyamnungajr
Teacher on Duty
19 January, 2025.
๐kt. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wameridhia kwa kauli moja kumpitisha Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Dkt. Samia Suluhu katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025.
@official_nyamnungajr
Teacher on Duty
19 January, 2025
Dkt. ALLY HASSAN MWINYI MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kwa kauli Moja wameazimia Ndugu Dkt. Ally Hassan Mwinyi kuwa Mgombea wa Urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Kupitia CCM.
@official_nyamnungajr
Teacher on Duty
19 January, 2025.
Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalum wa CCM kwa kauli Moja wameazimia Ndugu Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia CCM.
@official_nyamnungajr
Teacher on Duty
19 January, 2025.
Baaaaaasi!!!!!,
Hakuna mashaka tena kuhusu ukubwa wa chama hiki, chama hiki ndio chama kikubwa kuliko vyote Tanzania na Barani Africa, Chama cha Mapinduzi CCM.
W๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐.
โWaeshimiwa wajumbe wa mkutano mkuu, Kamati Kuu na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa tuliangalia wana CCM na tukampata mmoja ambaye ni mbobezi naye ni ndugu yetu, Mzee wetu Stephen Wasira. CCM OYEEE!โ