@Elsukay0 Kwenye ngao ya Jamii ukimtoa Aziz k hao wengine hawakuwepo? Nachoona ni faida kubwa kwa yanga ongezeko la mzize hio ni hatari sana kwa simba.
•Nimemaliza kutengeneza Trading plan ya 2023 leo.
•Nimeonesha namna ya ku trade hii plan step by step, unaweza itumia kutrade kwa mtaji wowote ule.
•Mwaka jana ilikua ni personal, mwaka huu nakutumia DM bure.
Retweet & reply "Trading plan" nikutumie DM. Followers tu.
Go👇