@thisistemidayo Huu ni mfano wa vitu common sana wala havina ajabu, ukinywa maji umesimama shida ipi, ukinywa umekaa shida ipi? Unafanya jambo kwa akili na mazingira.
Kukojoa umekaa huu sio ustaarabu wala! ni kero, kujisafisha ni common mtu kujipenda.
Culture/dini hii iko mwilini sana