Helping self-taught developers level up โข Real coding tips & hands-on workflows โข Turn your skills into income ๐ป โข DM for mentorship & collabs
Sasa wewe unajifunza CODING au UNAJIFUNZA KUWA DEVELOPER?
Kuna tofauti kati ya kuwa DEVELOPER na kujifunza CODING, kujua CODE haikufanyi kuwa rated developer, hiyo ni sehemu ndogo mno ambayo hata mtoto wa darasa la 4 akifundishwa anajua.
Real developer ni PROBLEM SOLVER! ๐บ๐ป
Sifa moja wapo ya DEVELOPER yeyote duniani ambayo lazima awe nayo!
Uwezo wa kufanya DEBUGGING!
BISHA KWA HOJA!
Hapa Junior Dev lazima wapagawe kidogo ๐๐, wakiona tu hawaelewi utaona prompt inasema.
"Please finde the error on this code" ๐๐๐๐
Mwamangu kaza kuzijua FOUNDATION zile huwa zina maana kubwa!
Unaidharau HTML,CSS NA JS sababu ya ujio wa AI, nataka nikwambie kuwa AI itaweza tekeleza kile umesema ila kama huna BASIC ya kile unachokitaka hapo lazima uache ndala.
Uzuri kwenye tahasisi they need real developers.
SOMA HIKI KISA HAPA!
Mtu unafanya kazi kuanzia j3 mpka ijumaa, unakuwa na siku 2 za mapumziko, na muda wa kurudi home ni saa 10 jioni hivyo bado una muda wa kupumzika.
Kawanini katika siku hizo 2 usitumie kujifunza NEW SKILL, ili siku isiishe umelala tu.
Unalala una raha gani?
Goodmorning Familia !
Moja ya vitu muhimu kama developer hupaswi kukosa, ni uwezo wa KUUZA PRODUCT YAKO.
Ukiwa unaanza huwezi ajiri sellers sababu huna uwezo, lakini PRODUCT inatakiwa ifike sokoni, hapa lazima uwe na uwezo wa KUMARKET na SELLING.
Kwa Africa kutoboa si mchezo.
Wewe ni Junior Developer? Mpaka sasa hamna seriously project yeyote uliyofanya?
Bado una safari ndefu sana katika kujifunza, kwanini?
As Junior Developer lazima ujue kitakachokujenga na kuwa bora na kufika leveles, ni kuwa na uwezo wa kumaliza ulichokianza. Sio rahisi kumaliza.
@Davioh76 Vigezo ni wewe kuwa na utayari wa kujifunza na sio kujaribu.
Kuhusu gharama zinatokana na utayari wako mkuu, naweza kupa gharama lakini ikawa si lengo.
Kwanza andaa mpango, unataka kujifunza nini? Unatak ufocus kwenye upande gani? BackEnd, FrontEnd au FULL-STACK.
Karibu DM
Yoh unatamani kuwa web developer? Au na wewe ni SELF-TAUGHT DEVELOPER ambaye unahitaji MENTORSHIP?
Karibu sana, kwangu utaweza kupata
Effective road map.
Effective learning skill.
Effective challenge overcome.
Finishing what you start.
Lakini tutajifunza wote kwa pamoja.
Goodmorning na Eid Mubarak!
Nakukumbusha kuwa CONSISTENCY pay kwenye jambo lolote lile haijalishi ni kubwa au dogo kiasi gani ila ukiwa na CONSISTENCY nzuri one day utaenjoy.
Usifanye mambo kwa MOTIVATION jifunze kujenga UVUMILIVU na MUENDELEZO ambao haukwami kwami.
USICHOKE KUJIFUNZA MKUU,
Ukichoka PUMZIKA!
Ukiona mambo MAGUMU uliza ila si KUACHA.
Ukiona umeelewa kidogo, USIRIDHIKE zidisha mapambano.
CODING SIO NYEPESI, ILE INAHITAJI UZOEFU NA UFANYAJI WA KILA SIKU, HAITAKI DONOA DONOA.
Alafu jifunze kufocus na kitu kimoja mpaka uelewe
Lets build Our Future!
Kuwa developer is not Easy kama VIBE CODER wanavyodhania, kuna watu wameeacha ndala๐
Unajua kuwa kuna baadhi ya watu hata HTML ile ilipofika katikati mambo yalikuwa magumu?
Ishu unataka kukariri? Hata hao seniors kuna muda wanarudi kugoogle, ELEWA LOGIC
Hey JUNIOR DEVELOPER..!
AI WILL NOT REPLACE YOU, IF YOU UNDERSTAND WHAT THE MARKET NEED.
Usiache kujifunza kila iitwapo leo kwa kudhani kuwa AI na MAROBOTICS tayari yanafanya kila kitu!
Hey kama upo African basi jua hizi ni developing country bado zinataka HUMAN INTERVENTION.
As a SELF-TAUGHT Developer ambaye uko kujipambania, unatakiwa ufahamu kuwa soko linahitaji PROBLEM SOLVER!
Maswala ya kujisifu unajua kila LANGUAGE hayo mambo huku kwa dunia watu hawayataki, wanasema hayo ni EXTRA.
Ishu ni nini unaweza fanya ukatusaidia kusolve matatizo yetu.
I challange my self.
Sipo kushindana na mtu, na sipo kujifunza kwa ajili ya motivation, ila najenga CONSISTENCY ambayo hata nichoke kiasi gani lazima niguse CODE.
NAIPENDA SANA TECH HASWA KUWA DEVELOPER.