Hakika mabinti wa kisukuma watazidi kuwa weupe, kwanza hawahangaiki kwenda kutafuta maji, lakini pia wataoga na kunywa maji safi na salama. lazima wang'ae.
Rais Samia anatarajia kuzindua shule 103 za amali. Hii ni hatua kubwa na muhimu kwa ajili ya Elimu kwa vijana wetu. Halafu wazee wa vidole juu wanapiga kelele tu, watakuta manyoya tu hawa.
Wanawake wa Dar es Salaam wasimama na Rais Samia Suluhu wakisherehekea uongozi wake kwa kufungua milango ya kiuchumi na kuwawezesha wanawake kujitegemea na kuleta maendeleo ya Taifa.
Chini ya uongozi wa Mama Samia, Tanzania inaendeleza huduma ya afya kwa vifaa vya kisasa na huduma bora za uzazi na kuhakikisha huduma bora inapatikana karibu na nyumbani.
CCM imeweka mikakati yakinifu ya kumuinua kila mwananchi kiuchumi, hususan vijana, ili kuhakikisha tunakuwa na taifa lenye nguvu na maendeleo ya kweli kuelekea 2025/30
Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanaunganisha mataifa zaidi ya 30 na maonyesho ya maelfu ya wafanyabiashara, yakichochea ukuaji wa kiuchumi kwa kuwawezesha wafanyabiashara wa ndani na kuimarisha mahusiano ya kibiashara kimataifa