Anaandika: @lwaitama1
Mimi si mwanasiasa, ni mwananchi tu wa kawaida. Nimefuatwa na Tume za Rais tangu ya Jaji Nyalali 1991, ya Jaji Kisanga 1996, ya Jaji Warioba 2013, pamoja ya Kikosi Kazi Cha Rais kilichoongozwa na Prof Mukandala 2022, na kuulizwa maoni yangu kuhusu nini ningetamani kibadirike katika mfumo wa utawala wa nchi yangu. Nimetoka mapendekezo mengi kama ifuatavyo kwa kifupi: kuwepo Serikali ya Nchi Washirika ya Tanganyika kama tulivyo tayari na Serikali ya Nchi Washirika ya Zanzibar;
Mawaziri wasiwe Wabunge na Wabunge wasiwe Mawaziri;
kusiwepo Viti Maalumu vya Bunge kuwakilisha wanawake badala yake Majimbo ya Uchanguzi yapangwe upya ili kila mpiga kura achague mbunge mmoja wa kike na mwingine wa kiume kwa kila Jimbo la Uchaguzi,
Matokeo ya Uchaguzi wa Rais yaweze kuhojia Mahakamani,
Mamlaka ya Rais yapunguzwe.
Lakini pia kuwepo na UGATUZI wa madaraka ya dola kuhakikisha viongozi wa ngazi zote toka Mtaa Kata Tarafa Wilaya Mkoa Kanda hadi Taifa wanakuwa WALIOCHAGULIWA si wakuteuliwa na Rais;
Mipaka ya Majimbo ya uchaguzi iwe na uwiano na idadi ya wakazi wa Jimbo na mipaka hiyo.
Iwepo Tume Huru ya Uchaguzi wa Serikali zote tangu za mitaa na vijiji hadi ya Nchi Washirika na Shrikikisho,;
Teuzi zote za Rais zifanywe kutokana na mapendekezo ya Tume za Uteuzi zinazozingatia UMAHILI na UADILIFU na kila teuzi idhibitishwe na Bunge muafaka; nk,, nk.
Mbali ya maoni haya yote niliyotoa kuhusu mabadiriko na muundo wa serikali ninavyotamani kama mwananchi ya mfumo wa sisi Wananchi kujitawala bado mwanasiasa wa chama tawala cha CCM anapata uthubutu wa kusema eti mimi sijui lolote kuhusu Katiba ya sasa na kuwa eti ninaburuzwa na wanasiasa wa vyama vya upinzani kudai KATIBA Mpya?
Napendekeza viongozi wandamizi wa chama tawala cha CCM wajitafakari na waende wakasome kijitabu kiitwacho TANU na RAIA alichosndika marehemu Rais Julius Nyerere mwaka 1962 . Pia wajiulize hivi si tuliisha anza mchakato wa kuandika KATIBA Mpya mwaka 2013 na kilichokuwa kimebaki ni kukamilisha?
Hivi ili kutekeleza hili si tuliitaji kupeleka mswada Bungeni mara moja unaoweka vyombo rasmi vya kukamilisha mchakato wa kuandika KATIBA Mpya na kuanza kazi hiyo mara moja ili walau changuzi za 2024 na 2025 zitukute na mifungu vilivyofanyiwa marekebisho ya msingi vya Katiba ya sasa kuhusu mambo ya uchaguzi?
Hivi hii hoja ya eti tunahitaji kuwepo miaka mitatu ya kutoa ELIMU ya URAIA kuhusu KATIBA na URAIA ina mantiki gani?
Kwani kudai uhuru si ilikuwa ni kudai KATIBA Mpya na je dai ilo liliambatana na miaka mitatu ya kupewa ELIMU ya URAIA kuhusu KATIBA Mpya ya 1961?
Vipi dai la kutoka KATIBA ya 1961 kwenda Katiba Mpya ya 1962 ya kuunda kwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika, ilitanguliwa na ELIMU ya URAIA ya miaka mitatu?
Na je hitaji la Katiba Mpya ya Mpito ya 1965 mara baada ya Muungano wa Serikali ya Nchi ya Tanganyika na Serikali ya Nchi ya Zanzibar 1964 lilitanguliwa na ELIMU ya URAIA ya miaka mitatu?
Na je mikutano ya hadhara kama inayofanywa na CHADEMA sasa hivi inayojulikana kama +255 KATIBA Mpya Okoa Bandari Zetu si nayo ni aina ya ELIMU ya URAIA? Je lazima elimu hiyo ipangiwe muda Maalumu wa miaka mitatu na elimu hiyo iratibiwe na Serikali iliyopo madarakani?
Kwani haiwezi kuendelea kutolewa na makundi mbali mbali kama vyama vya siasa na asasi za kiraia bila kutolewa kwa ELIMU huko kudhibitiwa na Serikali ya chama tawala Cha CCM?
Kama Katiba ni ya Wananchi si ina mantiki Serikali ikitoa fedha kwa asasi za kiraia chini ya Uratibu wa Jukwaa la Katiba, kwa kushirikiana na asasi za kiraia kama LHRC, TLS, CSL, TGNP, Haki Elimu, Haki Ardhi, nk, nk kusimamia na kuratibu mchakato wa kuandikwa kwa Katiba Mpya iliyobeba maoni ya Wananchi?
Asubuhi ya Leo nimemtembelea Mwenyekiti wa chama mhe @TunduALissu katika gereza la Ukonga.
Yuko imara mwenye afya njema.
Ameniambia kuna mabadiliko mengi katika treatment yake gerezani baada ya wasilisho lake mahakamani.
Sasa anaruhusiwa kufanya mazoezi uwanjani.
Sasa anaruhusiwa kuhudhuria ibada.
Sasa anaonana na mawakili wake.
Hii inatambua jambo moja tu kwamba.
Haki inapiganiwa na kudaiwa na ukweli wakati wote hushinda.
Tutashinda kwasababu tuko kwenye Haki na ukweli.
#NoReformsNoElection
@dictatorbin Baada ya rais Kikwete kumaliza mhula wake, CCM haijawahi kushinda, na haina huwo uwezo wa kushinda Uchaguzi ukiwa ni wa uhuru na haki, CCM imebakiza nguvu ya Jeshi la Polisi, polisi ndo wanaisaidia CCM kushinda, apart from that, CCM kilishatoka kwen mioyo ya watu kitambo sana
Yani watoto wa KIBAHA SECONDARY wanaakili kuliko “TUME YA UCHAGUZI”.
Huu mfumo ukija kufanya kazi basi hayupo KIBAKA kutoka kwa WAKOLONI WEUSI atashinda hata kijiji kimoja.
Madogo wanaishia kubuni vitu vya maana na kurudi makwao wakakatie NG’OMBE nyasi.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@Adventure_36 hao madereva wa STK wana viburi kupita kiasi, mmoja nilichangiana naye Pale Wizara ya mambo ya Ndani, Barabarani waanapokimbia speed yao ni 120 mpaka 200 hawajali watumiaji wengine wa barabara, acha wafe tu
tunawaombea ndugu zetu raia wa kawaida afya njema na wapone harala
1. Unadhani kwanini Jiwe alitengeneza mazingira ya kuwa na kikundi cha watu wachache waliofanya utekaji na mauaji kwa siri?
2. Unadhani kwanini pamoja na ukatili wake alikwepa sana kuteka na kuua kwa kutumia polisi kama huyu mrithi wake?
3. Unadhani kwanini hata ikitokea polisi wakiua hadharani kama walivyofanya kwa Akwilina serikali yake ilitoka hadharani kukataa na kujisogeza kwa ndugu wa marehemu?
4. Unadhani kwanini alikuwa anakwepa kutengeneza mazingira ya ushahidi wa serikali hasa polisi kuhusika na mauaji ya wapinzani?
5. Unadhani kwanini SSH anatengeneza ushahidi wa moja kwa moja polisi tena wenye sare kuteka, kutesa na kuua wapinzani? Au yeye anajiamini zaidi kuliko Jiwe? Au uwezo mdogo?
6. Polisi wanaoutumika wanajua kuwa hiyo ni jinai tena ya ushahidi wa wazi kabisa?
7. Polisi wanaofanya matukio haya tena katika mazingira ya ushahidi wa wazi wamejiandae ikitokea Samia hatakuwa Rais?
Hata hivyo nyie vibaka polisi @tanpol tunataka majibu ni kituo gani mmewapeleka & kuwaficha viongozi wa CHADEMA ambao ni @HildaNewton21 , @chacha_heche , @HecheJohn na @jjmnyika ?
Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
Martin Maranja Masese na @KumbushoDawson tumefungua Miscellaneous Criminal Application No. 8902 of 2025 dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, #AmosMakalla kwa kauli zake dhidi ya CHADEMA alizotoa 22/03/2025. Kesi imepangwa kuanza 12/05/2025 mbele ya Jaji R.M, Kisutu.
@Sirjeff_D Mambo ya Mungu bado huyajui, endelea kufanya analysis za Synthetic Indices na Cruptos, Trade na Currency pairs, ya Dini tuachie sisi, huyajui,
@Nnauye_Nape Chadema wanapigwa mabomu ba kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, halafu nyie mnaotuana na kufanyia mzaha Mpox NA EBOLA Mnaendelea na mikutano na Polisi wa CCM wanawalinda, HIVI KAMA SIO USENGE NI NINI?
@Sirjeff_D Usimfananishe Mungu na Kiumbe alichokiumba, Mungu hapendi huu upumbavu, by the way Usilitaje Bure Jina la Bwana Mungu wako, Never compare and contrast the creator vs creation, Wewe na shetani wote ni Viumbe, kuwa na heshima na adabu mbele za Mungu, usiongee upuuzi huwo