Info LifeTz is an Integrated Social Media Project (ISMP) empowering youth through Good Governance, comprehensive SRH&R, HIV and GBV info |Salama Foundation
Ukatili dhidi ya wanawake si tu wa kimwili. Maneno, vitisho na hasa mtandaoni pia huumiza. Tutokomeze aina zote za ukatili wa kijinsia. #ChatKijanja#noexcuse
Wazazi, zungumzeni na watoto kuhusu matumizi salama ya mtandao. Wakumbesheni kuhusu picha, jumbe, video zenye maadili pamoja na mazungumzo wanayoyafanya. Uelewa ni kinga. #ChatKijanja#noexcuse
Walimu wanaweza kuwaelekeza wanafunzi namna ya kupambana na ukatili wa kijinsia ukiwemo ule wa mtandaoni.Hii itasaidia kutokomeza matendo ya ukatili hasa kwa wasichana wadogo. #ChatKijanja#noexcuse
Mzazi,Jitahidi upate nafasi ya kuangalia apps na chats wanazotumia watoto wako.Simamia bila kudhuru heshima yao.Zingatia matumizi salama ya mitandao. #ChatKijanja#noexcuse
Kama unapata picha,video au maneno yanayokuletea hofu na wasiwasi, usiyatumie.Repoti,block na utafute msaada.Ulinzi wa mtandaoni ni haki yako. #ChatKijanja#noexcuse