Miongoni mwa majengo bora na ya kisasa ya utawala nchini. Hili ni la utawala la halmashauri ya RUANGWA, ujenzi wake umetekelezwa kwa fedha kutoka serikali kuu. Mh: Raisi Dr. Samia Suluhu Hassan tunakushukru kwa namna ambavyo unazidi kutekeleza miradi mikubwa ya kimaendeleo.
@MsLACampaign Daktari Samia Suluhu Hassan watanzania tunakushukru kwa namna ambavyo umekuwa kiongozi wa kutekeleza kwa vitendo, sisi watanzania wenzako ni mashahidi kuona namna ambayo Dunia inakupongeza kwa namna unavyo liongoza ili Taifa kwa haki, usawa na maendeleo Mungu akubariki
Tanzania Ya Samia Sasa Maji Ni Mwa Mwa Mwaa 💧👏
Mh: Rais Dr. SSH Deni lako la Maendeleo na Fedha nyingi unazozitoa katika kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo tutakulipa ifikapo Oct. 2025✅️
#MsLAC#MoCLA#SisiNiTanzania#HayaNdioMatokeoChanya

Uliondoka tukiwa tunakuhitaji sana Mjomba.
Naamini huko ulipo unayaona mazuri anayoyatenda Mama. Amekamilisha miradi yote mikubwa uliyoiacha . Na pia amasema #kaziiendelee na kweli kazi inaendelea maana anayatenda makubwa hadi dunia inashangaa. Sasa hivi Mama amesema tena #kaziN