Top Tweets for #mocla
@NCHIYANGUT @Sheria_Katiba @sisiniTanzania @KatibaMpyaTz_ @matokeochanya @MsLACampaign @SuluhuSamia @TanganyikaLaw @humanrightstz @Mwabuk2Boniface Wizara nafikir imepata kiongozi bora sana @NdumbaroDamas nafikiri ni kiongozi mwenye maono sana
#tanzania #Mocla #mslac
@MsLACampaign Mssada wa kusheria ni nuru gizani..wale wasio na uwezo wanaifikia haki kwa njia ya usaidizi wa mslac hivyo maono ya rais Samia katika kuanzisha kampeni hii yanazaa matunda siku hadi siku
#sisinitanzania
#matokeochanya
#mslac
#mocla
@MsLACampaign Hakika ametekeleza hii kampeni imesaidia sana na imeleta tabasamu katika jamii
#Mslac #Mocla #katibanasheria

Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imeendelea kwa mafanikio katika Halmashauri ya Mkinga, kata ya Mayomboni – Tanga. Wananchi wamepata elimu ya kisheria, kusikilizwa kero zao, na baadhi ya migogoro yao kutatuliwa papo hapo na wataalamu
#MSLAC #KatibaNaSheria #MOCLA

@Sheria_Katiba Falsafa ya kampeni hii ni kusikiliza, kushauri, kutoa msaada na kutatua.
#mslac #mocla #Katibanasheria
@MsLACampaign Kupiga kura ni haki ya Mwananchi Kikatiba hivyo Wananchi wana haki ya kupiga kura na sio kushurutishwa kugomea uchaguzi kama wanavyofanya wale wa upande wa upinzani.
MABADILIKO YALISHAFANYWA KUPITIA 4R.
KUMWAMBIA MTU ASISHIRIKI UCHAGUZI NI KUMNYIMA HAKI.
#MSLAC #SSH #MoCLA


Hii ndio maana halisi ya Kazi na Utu. Taifa lipo salama sana. #SSH #MSLAC #sisinitanzania #kaziiendelee #kazinautu #Mocla #matokeochanya #Siondototena #Mitanotena #Tanzania.

Wafanyakazi wote tunawatakia heri na mfanye kazi kwa utu, ili tusonge mbele.
#Katibanasheria #mocla #mslac #ssh #kazinaututunasongambele #sisinitanzania

@MsLACampaign Uhuru wa vyombo vinavyosimamia haki na sheria ni takwa la kisheria. Lakini pia TLS ni mdau muhimu sana katika kutekeleza kampeni ya Mama Samia Legal Aid Campaign (MSLAC).
#mslac #mocla #katibanasheria #ssh

@MsLACampaign Msaada wa kisheria ni tumaini kwa watanzania
#mslac #mocla #katibanasheria #sisinitanzania #SSH

@MsLACampaign Haki ni pamoja na uelewa wa sheria. Ndio maana kumeanzishwa Mama Samia Legal Aid Campaign
#mocla #Katibanasheria #mslac #sisinitanzania #Nchiyangukwanza

@sisiniTanzania Kilimo ni uti wa mgongo wa kwa uchumi wetu. Maeneo mengi ya Tanzania yamebarikiwa ardhi bora na kuzalisha mazao yenye thamani kwa dunia. Mfano kwa maeneo ya Singida ni maarufu kwa kilimo cha Alizeti. #SSH #mslac #sisinitanzania #kaziiendelee #mocla #matokeochanya #KAZINAUTU

@MsLACampaign @TanganyikaLaw @Sheria_Katiba @SuluhuSamia @ikulumawasliano Hii kampeni kwa kweli imekuwa ni mkombozi kwa kiasi kikubwa kwa watu wengi kwa hakika itatunufaisha sana sisi wananchi hasa wa chini. #kazinaututunasongambele #sisinitanzania #MSLACampaign #MoCLA #Tandawilimachaka #SSH #matokeochanya

@MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @SuluhuSamia @nchimbie @matokeochanya @ikulumawasliano Kwa mujibu wa sheria haki ni ya kila mmoja wetu
#sisinitanzania #nchiyangukwanza #SSH #mslac #mocla #katibanasheria #matokeochanya

@ikulumawasliano @SuluhuSamia Hongera sana ndugu Alphonce Simbu kwani uwakilishi wako umelibeba na umeliheshimisha taifa hili. Ahsante sana taifa hili limejitoa katika michezo. 👇##SSH #mslac #Mocla #SISINITANZANIA #KAZIIENDELEE #KAZINAUTUTUNASONGAMBELE #MATOKEOCHANYA #MITANOTENA

@MsLACampaign Kampeni ya msaada wa kisheria ya Mama Samia imetuibulia mambo mengi sana ambayo wananchi walikosa sehemu ya kuyasemea. Kubwa zaidi kupata ufumbuzi wa mambo ambayo kwetu sisi wananchi yalikua yakitutatiza sana hasa yahusuyo haki na sheria.
#sisinitanzania #ssh #mslac #mocla

@MsLACampaign Kuandika wosia kunasaidia sana kutatua migogoro mbalimbali ikiwemo ya ardhi pia
#mocla
@MsLACampaign Hakika Msaada wa kisheria ni tumaini kwa watanzania. Ile dhima ya haki, usawa, amani na maendeleo naiona kwa wakazi wa Kagera ndani ya siku 10 hizi.
#sisinitanzania #nchiyangu #ssh #katibanasheria #mslac #mocla

Last Seen Hashtags on Sotwe
minichatt
Seen from France
minichat video*
Seen from Qatar
سكس_عربي
Seen from Poland
thickebony
Seen from Netherlands
Kendrasunderland brazzers video
Seen from Turkey
หีโบ๋ๆ
Seen from Thailand
oligio
Seen from United States
vgkbocil
Seen from Indonesia
hairybearded
Seen from Spain
anxiouspanda((((*))))* filter:videos
Seen from Turkey
Trends for you
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers








