PhD in Climate change, Msc. Envt, Bsc.Ed, Mp & Speaker contestant party level, Former Minister Of Academic (UDSM), Secretary & Chair UDSM_ CCM Youth league.
*Uongozi sio kitu cha kukitamani, ni kitu cha kukaa chini na kuhesabu gharama* βοΈ
@IsackNaftary
Mkurugenzi na mwanzilishi wa Taasisi ya Tanzania youth life Choice.
Siku moja utagundua kuwa muda mwingi uliupoteza kwa kuwa na hofu na Mawazo yasiyo na thamani. Kuna siku itafika Maishani mwako ambapo wale Waliokudharau au Waliokutendea Vibaya watajutia sana. Niamini huo wakati #utakuja_Hakika.βοΈ
@isacknaftary
~TYLCO_MD
Leo ni siku muhimu na ya kihistoria kwa nchi yetu ambapo tumehitimisha safari tuliyoianza miaka miwili iliyopita kwa kuzindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ikiwa ni mara ya pili kwa Taifa letu kufanya hivi tangu Uhuru. Dira hii ni maoni ya wananchi wote ambapo kwa miaka 25 ijayo wamedhamiria kujenga Taifa jumuishi, lenye ustawi, haki na linalojitegemea.
Tumefikiri wenyewe, tumepanga wenyewe, tumeandika wenyewe na hatua inayofuata ni utekelezaji. Hatua hii inahitaji kila mwananchi kufanya kazi kwa ari, nguvu, maarifa na bidii na kuwepo ushirikiano wa dhati kati ya serikali, sekta binafsi na wadau wa maendeleo. Aidha, hatuna budi kuendelea kudumisha amani, umoja, mshikamano na utulivu nchini ili tufikie shabaha na malengo tuliyojiwekea.
Ninawapongeza wote, hasa wananchi, walioshiriki katika maandalizi ya dira hii, na hivyo kuipa umiliki na taswira ya kitaifa. Mmetimiza wajibu wenu, nami ninawahakikishia kuwa, tumeweza kutekeleza mengi, tutaweza kutekeleza dira hii.
Nichukue Fursa Hii adhimu Kumshukuru Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt SAMIA SULUHU HASSAN @samia_suluhu_hassan kwa Kuendelea Kuniamiani na kuniteua Kwenda kuwa Mkuu wa wilaya ya Handeni Nasema Asante sana .
Kazi na Utu ,Tunasonga mbele.
To my #young_brothers out there, Marry a woman who is affectionate, who adores you and expresses her love, not just with words but through her actions a woman who openely admits that she wants you. Life is already tough. Spend it with someone who shows up for you every day. ~βοΈ
Necessary to correct this because it is oft-repeated. Angola sells mostly crude not refined products which Tanzania needs/imports. Even then, the production cost per barrel in Angola is around $40. Saudi Arabia? $10. Even then, Angola will still sell you its oil in US$. As for beef, it makes sense for Angola to import from Namibia, next door and also Africaβs leading exporter than from Tanzania.
Proximity is not necessary the most important factor in the movement of goods and services. Supply-chain is a much more complex phenomenon.
NAENDELEA KUOMBA USIKIVU WENU πΉπΏ
Hatua ya KUTELEKEZA mtoto wako akaishi na kufanya kazi mitaani kwa changamoto yoyote ile ilihali huduma za ustawi wa jamii zipo na hutaki kufika huko kwa msaada zaidi; ujue tu kuwa hilo ni kosa kisheria na ni kipimo cha mwisho kabisa cha roho isiyo na huruma, isiyojali, isiyo una utu.
KATAA KUTELEKEZA NA KUTUMIKISHA MTOTO, fika ustawi wa jamii tuzungumze βπ»
@maendeleoyajamii
@ortamisemi
@uniceftz
@TSWO_MANYARA tusambaze tafadhali
@LeMaChUtz tusambaze tafadhali
@smaujata_tz tusambaze tafadhali
ππππ ππ πππ, πππππππππ πππππ.
Mama Samia Suluhu Hassan ni kiongozi mwenye maono, hodari, na mwenye bidii katika utendaji wake wa kazi. Uongozi wake umekuwa baraka kwa sekta mbalimbali, akileta mabadiliko chanya na maendeleo yanayogusa maisha ya Watanzania wote.
Tangu alipochukua nafasi ya urais, amejitokeza kama kiongozi shupavu anayesimamia maendeleo kwa vitendo.
Amefanya juhudi kubwa kuimarisha uchumi wa nchi, kuboresha miundombinu, na kuhakikisha huduma muhimu kama afya na elimu zinaboreshwa kwa manufaa ya wananchi.
Uwazi wake katika utawala na utayari wa kusikiliza mahitaji ya watu umemfanya kuwa mfano wa kuigwa kwa viongozi wa kizazi hiki.
Katika sekta ya afya, Mama Samia amewekeza kwa kiasi kikubwa kuhakikisha hospitali na vituo vya afya vinaboreshwa, dawa zinapatikana, na huduma zinawafikia wananchi wa mijini na vijijini.
Katika elimu, amehakikisha watoto wa Kitanzania wanapata fursa sawa za kusoma kwa kuondoa vikwazo kama ada za shule.
Vilevile, amekuwa mstari wa mbele kuimarisha diplomasia ya kimataifa, kuhakikisha Tanzania inashirikiana na mataifa mengine kwa ajili ya maendeleo ya pamoja. Juhudi zake zimevutia wawekezaji wa ndani na nje, hali inayochochea ukuaji wa uchumi na kuongeza fursa za ajira.
Uongozi wake umeleta matumaini makubwa kwa Watanzania, kwani anaonyesha dhamira thabiti ya kuwatumikia kwa haki na uadilifu. Kila sekta imepata mguso wa uongozi wake imara, na mchango wake unaendelea kuleta maendeleo makubwa kwa Taifa.
Bila shaka, Mama Samia ni kiongozi mahiri anayestahili pongezi kwa jitihada zake zisizochoka katika kuijenga Tanzania yenye maendeleo na ustawi kwa wote.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa na Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2023-2024 pamoja na Taarifa ya Mwaka ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Ikulu Jijini Dar es Salaam
πArusha
βͺοΈASKOFU MALASUSA AMUOMBEA RC MAKONDA
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kiluther (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa leo tarehe 26 Machi, 2025 amefika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kukutana na Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda na kufanya Mazungumzo mafupi sambamba na kumfanyia maombi na kuombea amani katika Mkoa huo na Taifa kwa ujumla
πΈ:O/Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTz), @freemanmbowetz, amepotea kutokana na matusi ya wanachama wa chama chake.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara Kata ya Kemondo, Wilaya ya Bukoba, mkoani Kagera leo Machi 22, 2025 , Wasira amesema kuwa katika kipindi cha siku 31 za mchakato wa uteuzi ndani ya CHADEMA, wanachama wa chama hicho walikuwa wakitukanana, hali iliyomfanya Mbowe kutoweka.
"Wakati sisi tunachagua wagombea, wao walikuwa Dar es Salaam wakitukanana kwa siku 31. Wanachama wao wana nguvu ya matusi. Wamemtukana Mbowe hadi amekimbia," alisema Wasira.
Ameongeza kuwa Mbowe hajaaga dunia bali "yupo anauguza vidonda vilivyotokana na matusi."
Katika mkutano huo, Wasira amewataka wanachama wa CCM kujifunza kuheshimiana na kurekebisha makosa wanapobaini mambo hayaendi vizuri.
Amesema kuwa CCM ni chama cha wanadamu na kimejijengea utaratibu wa kujisahihisha, tofauti na vyama vingine ambavyo vinatukanana hadi vinagawanyika.
"Hata CCM sisi ni chama cha wanadamu, tunaweza kufanya makosa lakini tuna kitu kinaitwa tujisahihishe. Ndio maana tukiona mambo hayaendi vizuri tunajiuliza kwanini hali iko hivi, tunabadilisha mambo," alisema.
Ziara ya Wasira katika mkoa wa Kagera inalenga kukagua uhai wa chama, utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi, na kuhutubia mikutano ya hadhara.