@JayleenRickie ππππHii nimewahi fanya nikaacha nilivyoanza kukaa kwenye room ya Choo ndani, ila nilicheka siku nimeingia kwa mwana mmoja πππ amejaza yale machupa makubwa ya Lita 12 πππ
@mzigava @MrDepalitto7 Ameweka team nying bonus imefika kwenye Asilimia 500% ndo mana imekuja hvyo.. Hii huikuti popote ni betpawa pekee wenye bonus kubwa Namna hii