MaCCM yana wakati mgumu sana kuliko yanavyofikiria, yamechafua roho za watu kila kona
yanafikiria yanaweza ua na kuteka kila anayeyaambia ukweli
Huko mbele kuwa CCM inaweza kuja na gharama kubwa sana, watatafuta Wanaharakati na CHADEMA kuongea na wananchi, ambapo itakuwa too late
#HABARI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza wajumbe 11 wa kamati maalumu ya Kamati Kuu itakayoratibu na kuendeleza mchakato wa ukusanyaji wa maoni kuhusu upatikanaji wa katiba mpya kabla ya mwaka 2027.
Hatua hiyo inalenga kuchochea mjadala wa kitaifa na kuimarisha ustawi wa wananchi kupitia maboresho ya mfumo wa kikatiba.
Kamati hiyo inaongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Dk. Rugemeleza Nshala, akiwa mwenyekiti, huku Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Wakili Deogratius Mahinyila, akiteuliwa kuwa katibu. Kamati imepewa hadidu za rejea nne na muda wa miezi mitatu kutekeleza majukumu yake.
Wajumbe wengine ni pamoja na Wakili Ali Ibrahim, Suzan Lyimo, Ruthy Moleli, Pamela Maasay, Wakili Gaston Garubindi, Zeud Mbano na Boniface Jacob maarufu Boni Yai.
Pia kamati hiyo imejumuisha washauri wawili wasio wanachama wa Chadema, ambao ni Wakili Mpale Mpoki na Wakili Jeremia Ntobesia, kwa ajili ya kuimarisha mchango wa kitaalamu katika mchakato huo.
#EastAfricaTV
#TheInterview | Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, @HecheJohn anasema moja ya kitu ambacho watu wengi wanafanya ni kuona makosa na kutosema kama ni kosa kwa kutegemea kuteuliwa.
#SupaBreakfast | #HainaKuchoka | #TheInterview
#TheInterview | Kuhusiana na mikutano ya siasa inayofanyika hivi sasa nchini, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, @HecheJohn amesema tofauti yao na vyama vingine vya siasa ni kwamba kwenye mikutano yao watu wanakuja wenyewe na hadi kufikia hatua ya kuchangia, hawaletwi na magari.
#SupaBreakfast | #HainaKuchoka | #TheInterview
#TheInterview | Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, @HecheJohn akielezea ni kwa namna gani ni ngumu kuvaa viatu vya mwenyekiti wa chama hiko Tundu Lissu kwa kusema hakuna anayemzidi Lissu kwa umaarufu nchi hii awe ametoka CCM au CHADEMA
#SupaBreakfast | #HainaKuchoka | #TheInterview
#TheInterview | Kutokana na uwezo wa kupambanua na kuchanganua mambo, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Bara, @HecheJohn anaamini kama taifa ilikuwa ni muda sahihi wa kutumia akili ya Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu
#SupaBreakfast | #HainaKuchoka | #TheInterview
🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward.
This moment belongs to every mother who buried a child, every family still searching for answers, every victim of violence, every religious leader who stood firm, every journalist who spoke the truth, every activist who refused to be intimidated, and every Tanzanian who never stopped believing that accountability matters.
This is not the finish line.
But today, the world heard Tanzania.
Today, truth prevailed over propaganda.
Today, hope prevailed over fear.
Today, we moved one step closer to justice and accountability.
To everyone who prayed, advocated, testified, contacted congressional offices, shared evidence, and refused to look away-thank you.
The journey continues, but today we pause to thank God.
Justice delayed is not justice denied.
Safari bado inaendelea- ila leo haki imeshinda💪🏽
Thank you also to all senates and their staffers that heard our cries.
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
🚨 HABARI NJEMA: TUMEPATA USHINDI LEO!
Hatukukata tamaa. Hatukukaa kimya.
Leo tumepiga hatua moja muhimu kuelekea haki.
Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani (Senate Foreign Relations Committee) na sasa unasonga mbele katika hatua zinazofuata.
Ushindi huu ni wa kila mama aliyempoteza mwanae, kila familia ambayo bado inatafuta majibu, kila mwathirika wa ukatili, kila kiongozi wa dini aliyesimama imara, kila mwanahabari aliyesema ukweli, kila mwanaharakati aliyekataa kutishwa, na kila Mtanzania ambaye hakuwahi kuacha kuamini kwamba uwajibikaji ni muhimu.
Huu si mwisho wa safari.
Lakini leo, dunia imeisikia Tanzania.
Leo, ukweli umeshinda propaganda. (Niliwaambia ile picha ya mkono wa bendera ya Tanzania ikishikana na ya marekani yaliyochapishwa na hayo magazeti yaliyonunuliwa ni propaganda- leo si kimewaka?)
Leo, matumaini yameshinda hofu.
Leo, tumesogea hatua moja karibu zaidi na haki na uwajibikaji.
Kwa kila aliyeomba, aliyehamasisha, aliyetoa ushuhuda, aliyewasiliana na viongozi wa Marekani, aliyeshiriki ushahidi, na aliyekataa kugeuza macho yake pembeni -asanteni sana.
Safari bado inaendelea, lakini leo tunasimama na kumshukuru Mungu.
Haki iliyocheleweshwa si haki iliyonyimwa.
Now muachieni na Lissu
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
#justiceforTanzania
Lengo mama kwenye biashara ni kumrudisha mteja.
Ukifanikiwa kuwarudisha wateja 7 kati ya 10 uliofanya nao biashara.
Una high chance ya kukua na kufanikiwa kwenye level kubwa za kibiashara.
Game inayochezwa na brand zote kubwa. Wana kutengenezea mazingira ya kuhakikisha lazima urudi tu.
Imeanza kama utani ila huu muungano utakuja kuvunjika kwa damu za watu, ni either tukae chini tukubaliane tutaachanaje au turekebishe kwenye makosa tuishi pamoja kwa kupendana na kuheshimiana.
Nguvu mlizonazo; pesa mnazopoteza vyombo mnavotumia; KUVUNJA KATIBA, SHERIA; KUWAKAMATA NA KUWATESA VIONGOZI WA CHADEMA; mngetumia kuratibu mabadiliko chanya hasa KATIBA MPYA kurejesha amani na ummoja nchini. Vinginevyo mnajidanganya. Jamii inazidi kutengeneza hasira dhidi yenu.
Boni Yai amewasili katika ofisi hizo zilizopo Oysterbay leo Jumanne, Juni 16, 2026 saa 10:09 asubuhi, akiwa ameambatana na mawakili wake, akiwemo Hekima Mwasipu, pamoja na viongozi na wanachama wa Chadema waliofika kumuunga mkono wakati wa kuitikia wito huo.
Siku inakuja hivi karibuni mtalia machozi kama tunavyolia na zaidi! Tatizo lenu mlishauza roho zenu kwa Shetani na mmekuja kuamini kuwa mna nguvu kuliko Mungu
Mnakaribia kupata fundisho na kufanywa mfano kwa Afrika na dunia nzima, ili huu ufedhuli wenu waogope madikteta wengine kutenda!
#TutaelewanaTu
Naona Siku Hizi Ajenda Kubwa Ya MaCCM Ni CHADEMA
Kwanzia Ali Hapi, Kenani Mpaka Wassira
Nadhani Wamegundua Bila Kuitaja CDM Hamna Anayewasikiliza
Binafsi Sipingi CHADEMA Kubagazwa, Ndio Siasa, Lakini Nawakumbusha MaCCM Mkijibiwa Msikimbilie Polisi, Kwa Msajili Au Kuteka Watu