Picha: Leo Juni 12, 2026 Kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy ameongoza kikao cha kwanza cha @ACTBarazaKivuli jipya, jijini Dar es salaam.
Pamoja na mambo mengine, mawaziri vivuli wamekabidhiwa rasmi majukumu yao "Instruments" kwa ajili ya kuanza kazi.
Hussein Ali Mwinyi, barabara ya Benjamin Mkapa na Malawi Road hadi Bank of Tanzania yenye km 2 kwa bilioni 50.5 bila hata gharama kubwa za fidia ni kashfa kubwa.
Kilomita moja bilioni 25 kwa barabara ya mjini iliyopo tayari? Haya si maendeleo huu ni ufisadi wa wazi ulovunja mipaka
Wananchi wanataka uwazi na maelezo ya kweli, haya ni matumizi ya kutisha ya fedha za umma.
.@DrHmwinyi, kwa niaba ya masikini wote, tunakusihi sana usikerwe na kuudhika na sisi masikini. kerwa na umasikini na ufukara unaozaliswa, na kuendelezwa, na serikali yako na chama chako, @ccm_tanzania:
"Kukamatwa na jaribio la kutaka kumuua ndugu Djumbe nyuma yake kuna msukumo wa kisiasa. Jeshi la Polisi liache kupindisha maneno."
Katibu Mkuu wa @ACTwazalendo@AdoShaibu#HakiItendeke
PONGEZI KWA KUSEMA UKWELI:
Natoa PONGEZI kwa Mheshimiwa Jaji Mkuu GEORGE MASAJU kwa KUSEMA UKWELI, kwamba; MAHAKAMA HAIHESHIMIKI kutokana na KUCHELEWESHA HAKI kinyume na Ibara ya 107A(2)(b) ya KATIBA ya Tanzania.👇
OUT OF TIME, OUT OF TOUCH, OUT OF IDEAS! Ndipo ma-CCM walipofikia. Mnawezaje kubeba agenda ya kuwashambulia na kuwatukana vijana wa #GenZ kwamba hawana adabu, wamepotoka na hawana uzalendo? Mnajua kuwa #GenZ ni asilimia 30 ya Watanzania wote? Mmeshapitwa na wakati. Mtaondoka tu!
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha @ACTwazalendo kimepokea tangazo la Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
kuhusu kima cha chini cha mshahara cha Shilingi Laki tano (500,000/=)
Ingawa hatua
yoyote ya kuongeza kipato ni haki ya mfanyakazi, ni lazima tuseme ukweli mchungu: “Hiki si kile mlichostahiki, na huu si ushindi mlioupigania.
Katika Ilani yetu ya Uchaguzi wa 2025, ACT Wazalendo tuliahidi kima cha chini cha
Shilingi milioni moja (1,000,000/=). Ahadi hii haikuwa namba ya kubahatisha; ilikuwa ni
matokeo ya utafiti wa kina
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
@salimbimani2
Ni Mei 05, 2026. Mwenyekiti wa Chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @othmasoud atakuwepo Kilwa, mkoani Lindi kwenye maadhimisho ya Siku ya ACT Wazalendo.
#TukutaneKilwa
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa;
- Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS) bado yupo ofisini
- Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) bado yupo ofisini
- Wakuu wa Mikoa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa yote husika wapo ofisini
- Wakuu wa Wilaya na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya zote husika wapo ofisini
Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa, halafu Umma ukubali kuwa hii haikuwa kazi ya dola yenyewe kujiandaa kuua watu wake?