"Nawaomba watanzania wampuuze mzee Joseph Butiku, nafikiri Mwl. Julius Nyerere angekuwepo angesikitika sana kama mzee ambaye amewahi kuwa msaidizi wake. Amesema chama chetu kinapokea fedha kutoka marekani, huyu ni mtu ambaye amewahi kuwa Katibu wa Rais."- John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Huyu MBOWE mwenye maziwa, kwasasa yupo kimyaaaa kama vile ameshatangulia mbele za haki, kwakuwa mzenji mwenzie ndio ananyofoa roho za watu kila kukicha
MAGUFULI IS EVIL kwakua alikuwa Mtanganyika, leo mzenji mwenzie anatunyukua amekaa kimyaaa
PAMBAVUUUU
BREAKING 🔥
Aliekua Mpishi ofisi ya Nchimbi ameuawa. Taarifa zilizotufikia zinasema mpishi alikataa kufata maelekezo ya kumzuru Makamu. alipouawa Nchimbi alisema watangaze kifo chake kulikua na namna walikua wanataka kuficha kifo chake kauawa na Genge la mama. Mafia State.
ALERT: Hakija fahamika kilichomuua, lakini mpishi wa makamu wa Rais alilazimishwa kumuwekea Sumu makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi kwenye chakula, kitendo ambacho mtumishi huyo alikikataa, na baadaye yeye mpishi kufa katika mazingira yasiyoeleweka.
Mtu pekee anayeweza kuthibitisha UKWELI na USAHIHI wa taarifa ya “KUJIUZULU” kwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni Mheshimiwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN, kwa kuwa AMETAJWA kwenye “TAARIFA” inayodaiwa ni ya Balozi Dr. EMMANUEL JOHN NCHIMBI.👇 TUSUBIRI.
Tukio la aina yake limetokea nchini Uganda baada ya mmoja wa washukiwa wa wizi kuonekana akiwacheka na kuwaaga wananchi kwa tabasamu, muda mfupi baada ya Polisi kuwasili na kumuokoa dhidi ya kundi la wananchi waliokuwa wakitaka kujichukulia sheria mkononi.
Mshukiwa huyo akiwa tayari amefungwa pingu pamoja na mwenzake, alionekana mwenye furaha huku akipunga mikono yote miwili kuwaaga wananchi waliokuwa wamewazunguka. Tabasamu lake na namna alivyokuwa akiwaaga viliacha watu wakishangaa, huku ikionekana kana kwamba alikuwa akiwakejeli baada ya kushindwa kutekeleza mpango wao wa kumdhuru.
Kwa mujibu wa taarifa za tukio hilo, washukiwa hao wawili walikamatwa na wananchi waliokuwa na hasira na ambao walikuwa wamejipanga kuwachukulia hatua kali. Hata hivyo, maofisa wa Polisi kutoka Kituo cha Lwengo (Lwengo CPS) waliwasili kwa wakati na kuingilia kati kabla hali haijawa mbaya zaidi.
Polisi walifanikiwa kuwatuliza wananchi, kisha kuwachukua washukiwa hao na kuwapakia kwenye gari la Polisi. Walipelekwa kituoni kwa ajili ya mahojiano na taratibu nyingine za kisheria.
Kitendo cha mshukiwa huyo kuonyesha furaha na kuwapungia wananchi mikono wakati akiondoka kimezua mshangao, hasa kutokana na ukweli kwamba muda mfupi kabla yake alikuwa katika hatari ya kushambuliwa na kundi hilo.
Baraka nyingi kidogo nimwambie Mungu , Mungu Akubariki🙌🏾
Kuna lyrics zina mafunzo mengi sana kuhusu maisha, Utagundua utofauti wa uandishi wa wasanii wa sasa na malegend✍🏾