Zanzibar is not a sovereign islands, it's a party self- governing state in Tanzania, and it's not an independent country. Zanzibar had lost status since1964.
@iamFallacy Iko hivi, hata awe mchumba wako kila siku unampa pesa na wewe anakupa mbususu labda kwa kila baada siku tatu au wiki basi siku ukimuita geto basi akiondoka ni lazima umpe pesa na usipompa siku ya pili atakudanganya chochote ili umpe pesa kwasababu jana kaja umemla hukumpa pesa
@mchumimrembo Kibongo bongo ukiweka dau hakuna mwanamke mgumu lakini kwa maneno yao hapa X unaweza kukata tamaa lakini ukiwa seriously ukamtokea ukaweka dau unaopowa mbususu πππ.
@safarimlevi Mwalimu kaanzisha mfumo wa chama kuunganisha na vyombo vya ulinzi na usalama, na ndiyo maana vyombo vya ulinzi na usalama vinatumika vibaya sana kwa maslahi ya chama kusalia madarakani
@amina_hafidh Unatafuta ugomvi na Rahma, ukija kupigwa za uso nitaenda zangu mwera shambani kwangu nikale shokishoki huku nikikucheka ππππnilikwambia nikuoe kwa mahari ya juzuu na msahafu ukakataa πππ sasa hivi unatafuta ugomvi shauri yako πππ sijikuombea msamaha ujuwe ππ
@amina_hafidh Weye hasa sijuwi ukoje, kwani mahari ya misahafu na juzuu ndoa haikubaliki kwa Allah? πππ Umenikatisha tamaa ngoja nile supu ya pweza maana weye hueleweki ππ