@SuluhuSamia Raisi kilimo kinahitaji uwekezaji wa makusudi sio kukitolea tyu maneno mfano kuanzisha scheme za umwagiliaji kila Kona za nchi na kuongeza thamani kwenye bidhaa za kilimo
@NjengeYahya Mwaikenda kucheza msimu mzm na Mpanzu kaingia nusu msimu anaefanya maajabu yote mpaka kwenye shirikisho, je beki wa Azam kafanya nn kimataifa
@rollymsouth Unaongelea miwani imezakishwa na mtoto wa kitanzania wapo wanafunzi wa advance physics lakn umeme ukikata wanamwita fundi, mbunge ana maana ya application ya wanachokisoma sio kwamba hajui kazi yake maana waliotengeneza mtaala walikuwa na maana curriculum development
@INFLUENCERjr Che Malone hamna beki pale, Kama umeiona beki wawa, Onyango, Nyingi na Inonga Che Malone utajua tyu hamna beki fainali aanze Chamoua yule afadhali beki hata back pass hawezi kupiga alafu useme Kuna beki hapo
@iddynonga_ Bado ni Camara atachukua akimaliza na clean sheet dhidi ya kmc anahitร ji clean sheet moja kwenye mechi tatu zitakazobaki na ni uhakika kabisa maana team itakuwa seriously Sana maana final itakuwa imeisha