@TzFootballers Kwanza sijui ilikuwaje akatoka uturuki akarudi bongo Moja ya mchezaji nimewahi kumuwekea natumaini makubwa sana dogo sijui anapitia changamoto gani yaan
@Thommunkondya Daaaah mafanikio? mafanikio gani Ccm imeleta yaan mmelitia taifa umasikini licha ya utajiri wa rasilimali bado unasema Kuna mafanikio daaah
π¨ππππππ
Ujumbe wa Mbunge Mwana FA Baada ya Samatta Kuipa Kisogo Timu ya Taifaβ¦!!
βοΈπ
π£οΈβCaptain, asante kwa kila kitu,asante sana, HUDAIWI NA MTU. Tuna ombi moja tu watu wa mpira, hatuwezi shiriki AFCON itakayopigwa nyumbani pamoja? UKIWA DIMBANI.
Halafu tukujengee mnara wako mkuuubwa tuache upumzike, tafadhali. Na again, ASANTE SANA CAPTAIN.β
#MeaMswahiliUPDATES