@Aruatani Hizi ni shule maalum za wasichana zimejengwa kila mkoa, zina raman sawa kabisa. Ni shule za kisasa sana.
Kwa mkoa wa pwani ipo Rufiji inaitwa bibi titi. Kwa Dar es Salaam hawajajenga mpya Bali wameibadili Dar es Salaam secondary.
@Elparton112 Hajataka kuwa msanii mnayemtaka ninyi. Ameamua kustick na live performances za kwenye ma hotel..... Yupo sake zanzibar anafanya kile ameona sahihi
@MarcoMzumbe Hiyo kanuni ya siku moja kabla umeitoa wapi ndugu mchambuzi? Kanuni inasema angalau mara moja kabla siku ya mechi, na sio siku moja kabla ya mechi
@FKihamu Angalau mara moja kabla ya mechi na sio siku moja kabla ya mechi. Simba inatoka nje ya nchi? Kea mini siku zote hawajafanya hayo mazoezi mpaka siku moja kabla ya mechi? Lakin timu mwenyeji ambayo ndo ingewakabidhi kwa meneja wa uwanja walikuwa na taarifa ya Simba kufanya mazoezi?
@godbless_lema βMmiliki anapojua kuwa kosa linatendeka kwenye eneo lake, anajukumu la kutoa taarifa kwa Mamlaka, kushindwa kufanya hivyo ni kosa la jinai, na akitiwa hatiani, adhabu yake inaweza kuwa faini kuanzia shilingi milioni tano hadi milioni hamsini, au kifungo cha miaka mitano
@jmkumbo199@fatma_karume Kushift age? Takwimu za sensa ni za watu kuanzia Miami 16 mwaka 2022 na kuendelea. Ambao ndio mwaka huu tunategemea wawe na 18. Angalia morogoro, asilimia ngapi imeongezeka? Na imetoka wapi? Soma hizo figures kwanza