"Unapoona mambo ni magumu na moyo unazidi kulegea,Usikate tamaa,Mungu yupo,hatakuacha.
Hakutuahidi njia nyepesi, bali uwepo wake usiku na mchana,Omba,Amini, sababu baraka zake ni kubwa kuliko changamoto zako."
"The greatest happiness of life is the conviction that we are loved; loved for ourselves, or rather, loved in spite of ourselves." - Victor Hugo
"Furaha kuu ya maisha ni imani kwamba tunapendwa, au tunapendwa kwa jinsi tulivyo au tuseme tunapendwa licha ya jinsi tulivyo."
"Unaweza kuwa umezungukwa na watu wengi lakini bado ukajisikia mpweke, kwa sababu si kila mtu kwenye mzunguko wako anastahili kufahamu maisha yako ya ndani."