Mzee Mrema😂
Tulipewa Mwaliko Watia Nia Wa Ubunge Wote Makao Makuu ya Chama Mikocheni, Wengi Tulifika na Kusikia Maelekezo Ya chama na tukafanya Mjadala kwa Zaidi ya Masaa Matano na kufikia mwafaka wa namna nzuri ya Kutekeleza Movement ya Chama Ya #NoReformsNoElection, Lakini wengine mkagoma kuja then leo wenzetu ambao hamkuweza kuja kikaoni mnafanya Propaganda na Kusema Uongo, this is not fair kwenu na kwa chama chetu.
Tujenge Chama Chetu, Tuonyeshe Umoja Wetu, ili Tushinde kwa Pamoja, Acheni Kuwasaidia CCM kufanya Kazi yao dhidi yetu.
@nkokkalis Helow Mr. Nicolas please help me, I have forgotten My Passpharassee, how can I get it, but also i need to use finger print which i wasn't set it before
Kwa nini uwashangae maafisa wa Elimu kwanza? Mimi ningewashangaa walimu wenyewe wanaofundisha shule Lakini hawaweza kwanda na wanao wawafundishe!! Lakini kwa nini tuwashangae wakati hakuna sheria au utamaduni wa kuwalazimisha kama China na Argentina? Wabunge wao wanapeleka watoto shule za Umma? Na wanaopeleka watoto shule za umma wanajivunia kufanya hivyo? Ndio mana ulimwengu umehamia kutoka kwenye KPIs kwenda kwenye imani kwa taasisi kama kipimo muhimu cha tathmini ya taasisi.
@MariaSTsehai@tanpol Kwani lengo lao nini?
Kwanini wasihusishe viongozi wa mitaa au wananchi ili wasaidiwe, na kama kuna uhalifu nani mlalamikaji?
Kama wangelifanya hivi kwa mafisadi wanao tajwa kwenye report za CAG wangelisaidia Taifa 🇹🇿 letu.
If you're currently without friends on your profile, now is the perfect time to engage with the community. Share your username and retweet this post to connect with others and expand your network effectively. 🚀#PiNetwork#PiNetwork2025#OpenMainNet#PiKYC#pisocialprofile
There was NOTHING normal about your relationship with my father. You found a happy home and tried to wreck it. You're a DISASTER of a woman!! You didn't leave. Mzee kicked you out of the house in December of 1986, dragged you to the car while you were crying and sent you to your parents.
Ninaweza kusema kwa sauti kubwa kabisa kwamba hatuna siku nyingi tutakuwa na matatizo makubwa sana kati ya wafanyabiashara wazawa na Wachina. Hawa watu ni kama hawabanwi kabisa na sheria zozote , wanafanya wanachotaka na wanavyo jisikia kuanzia biashara za kawaida mpaka miradi mikubwa , wanaua sana mitaji ya wafanyabiashara wa ndani na kusababisha umasikini mkubwa na fujo. Wasipodhibitiwa haraka kwa nguvu kubwa ya sheria umasikini kwa watu wetu utaongeza sana. Kuna tatizo kubwa sana. Ni hatari na bahati mbaya CCM hawawezi kuona jambo hili.