Nimemjua Abdul kwa miaka miwili sasa tangu kwenye mapigano ya CKD ( Chronic Kidney Disease ) mpaka tunafanya initiation ya first dialysis kwetu, amekua mpambanaji throughout this journey ..
Anahitaji msaada wako,kama umeguswa unaweza kumtafuta kwa hizi no 🙏
Abdul- 0653999987