@MkulimaKante Khaminei atakuwa alikumbuka Trump alichomfanyia Maduro wa Venezuela.Inasemekana siku moja kabla ya kutekwa alikuwa amewasiliana na Trump kwa simu na kukubaliana vizuri tu juu ya kushirikiana kibiashara.
Wana CCM jiandaeji kwa kupandwa visukari
Wahuni wote na uzuri list ipo ikishawahi tolewa hapa mtakojoa dagaa
Kuna mali zao zinakwenda Taifishwa Dunia nzima na marufuku ya Kusafiri
“McAllister emphasized that targeted measures against those responsible for electoral manipulation and violence are essential. Travel restrictions and the freezing of assets should be considered, and political prisoners must be released in order to ensure a credible return to constitutional order.”
Hi! I need an invite to join our team’s private workspace on Zello. Can you invite me? Here are instructions on how I can be invited:
https://t.co/oEhjb2Jgoh
@Labella_Mafia95 Mchungaji aliyewahi kuwa na nguvu zaidi nchini aliyefaniwa kuwatapeli watu wa kariba zote (Viongozi,wasomi,wajinga na wajanja wa mjini) ni Babu wa Samunge.Yule ndiyo alikuwa ana ushawishi hasa kwani aliweza kuwatoa watu mjini wakaenda kijijini,kuwatoa wagonjwa mahospitali nk.
@Mwabuk2Boniface Huyu anaweza kuwa ni msomi mzuri lakini Kuna yule aliyepata elimu na ujuzi kwa uzoefu wa kuishi miaka mingi na kuchakarika (hustle),Mhe.Kishimba.
Kama lingekuwa Jimbo lisilo la Kishimba ningekuunga mkono kuwa Bw.Nkuba apewe.
Napendekeza Mhe.Kishimba aendelee.
@HecheJohn Mhe. Hakimu ametoa uamuzi wa haki kabisa.
Kesi alizotumia Lissu kujenga hoja yake hazifanani na hiyo kesi ya Lissu na hiyo kesi siyo ya hiyo mahakama.
Hapo Mahakama ni kama inasaidia Polisi kwenye uchunguzi.Kwa hiyo, Mahakama hiyo haiwezi kuamua juu ya kesi ambayo siyo yake.
@lifeofmshaba Naunga mkono hoja ya Bw.Abdul Nondo.Mhe.Kikwete alitamka kabisa kuwa siku hiyo aliyovunja Bunge ni kama Send off.Lakini siku yenyewe ya kuondoka rasmi ni tarehe 20/09/2015.