@EduTalkTz Trust me or not,ualimu lazima uwe umefaulu vzr sana. Ualimu una sehemu mbili,ya kwanza ni content na ya pili ni pedagogy ( methodology)
Sasa huwez ukawa huna content na ukawa na methodology nzuri eti ukafundisha labda kama ni zile a for apple lakini sio integrations au mechanics