Niliwahi muhoji afisa mmoja anae hudumu kwenye mizani congo,mbona mizani yenu mnapima tu gvm kujua uzito wa mizgo inayo ingia na sio kukamata gari zinazo zidi,akajibu,ulishawahi onawapi udongo wa mungu umekanyagwa na gari na ukatoweka?.wewe pakia kadiri uwezavyo kinatacho potea au kuharibika ni gari yako nasio udogo wa mungu.😀😀🙌
FIFA walimuuliza mwanamke mmoja kutoka Japani kwa nini huwa wanatoa takataka katika kila uwanja wanaoenda.
Alieleza:
“Hii ni sehemu ya utamaduni wetu. Lakini pia ni ishara ya heshima kwa nchi na uwanja unaotupokea, pamoja na timu zetu. Kwetu sisi, ni heshima kubwa kupokelewa hapa, na hatuwezi kuondoka tukiacha fujo au uchafu.”