@SimbaSCTanzania Hata zichezwe dakika 200 Simba haiwezi kupata goli hakuna mipango kama ambavyo viongozi hawana mipango timu imejaa wazee kwenye uongozi hadi uwanjani na matapeli wanaojifanya wawekezaji
@McinikaWaLamar@babalao__ Unajua sisi mashabiki wa Simba tumekuwa cheap sana.Yani mtu ukipigwa na shida unamwamini kila mtu sasa hapa watu wanamsubiri Fei ila ukweli ni kuwa hakuna Fei wa kwenda Simba msimu huu.Huu ujinga wetu wa kufikiri ndiyo umefanya watu kama kina Mangungo wako ofisini leo
@INFLUENCERjr@SimbaSCTanzania Tulia tu Mzee jua kuwa Simba bado haina mfadhili wa kumsajili Fei hiyo hapo itatambulishwa jezi tu ya pre-season wakiwa Zanziba
Baada ya kuona lisaa limoja lililopita umepost habari ya Nyuma Mwiko na Lassine Kouma nikajua kabisa kinachofuata ni kuja kusema Nyuma Mwiko wamemsajili na umefanya exactly the same ndani ya lisaa.Mmekuwa cheap sana what a nonsense.
π¨π£ More Updates π
β Simba Sc wamejitoa kwenye mbio za kumsajili Lassine Kouma (21) π²π±, hakuna deal tena.
β³ Young Africans πΉπΏ wanakaribia kukamilisha uhamisho wake.
Mkataba wa miaka mitatu tayari umeandaliwa.