@shaffihdauda1 Mungu ndiyo muumba mbinu na aridhi. Kuweka chini kusikokuwa kwa dhihaka Mungu hana shida na hilo. Mungu anaenda na dhamira popote pale ni kwake na kwenye dhihaka popote pale ni shida.
@millardayo Sababu ya kupanda bei kwa range kubwa sana ni vita,ilipanda tukiwa na stock ya kutumia miezi 6 tukahoji sana how vita imeanza immediately bei ikapanda nchini wakati mafuta yalikuwa njiani au yamefika?World price imedrop kwa 20% kwanini hajaishuka kwa namna ile ile iliyopandishwa?
@privaldinho Wewe huna akili,kiwanja kimepitishwa na bodi ya ligi kimekidhi vigezo na hiyo timu yako ya kazini siyo mara ya kwanza kucheza pale. Hata hao maboss unao jipendekeza kwao kwa kuongea ujinga wanakushangaa na kukuona mwehu.
@BracuszCadabra Shida watu wamekariri,kabla ya ligi uwanja wao wa nyumbani no 1 ni Isamuyo kama wakikaa kimya or hawajapeleka ombi la mabadiliko ya uwanja automatically mgeni wa mchezo unapaswa kujipanga kumfuata Isamuyo wala huhitaji kuulizia mech itakuwa uwanja gani.
@RevocatusMagum1 Kwa akili yako Ahly na wengine wanasubiri kwanza mchezaji awe scouted na Simba ndiyo wamfuate? Timu kubwa zina scout kila sehemu. Pia elewa Wachezaji wa west Africa wana mameneja wenye connection na scout wa Dunia nzima muhimu kwa mchezaji ni quality tu, kuuza kwao siyo shida.
@BracuszCadabra Yes, ila Ramos alishitukiwa na EUFA akala ban ya mech mbili badala ya moja aliyokusudia maana aliisaka yellow ya pili akaja kuipata dk za mwisho kabisa akala umeme katoka, the same kwa Aloso naye alipigwa yellow 2 akatoka.
Kama sijakosea ilikuwa 2010 vs Ajax
@kibaha_finest Mara nyingi Kama mtu alifunga kwa ndani it means ufunguo ulikuwa mlangoni,huo ufunguo wa akiba uliingiaje na kufungua? Pia hotel kubwa nyingi hawatumii funguo bali wanatumia kadi una scan then ndani ndiyo una lock.
Fuatilia vizuri
@BracuszCadabra Brother subiri muda ufike timu za Morocco,Libya,Egypt etc wavutiwe na wachezaji uone kama hawajauza. Simba kuachia mchezaji ni rahisi sana na kama unavyojua foreigners hawana mapenzi ni fedha kwanza.