*PENZI LIKIWA JIPYA MNACHAT HADI SIMU INA ZIMA CHAJI, UNA HISI HADI BATTERY FAKE ๐๐ฟ*
Ila Likishaanza kukuchoka pale ndipo utagundua kuwa simu yako ina uwezo wa kutunza chaji wiki nzima๐คฃ๐
Wewe unaiamini Benk unaweka pesa zako ila wao kalamu zao zmefungwa kamba ikimaanisha kuwa hawakuamini. Hii inatufudisha kuwa ktk maisha hutakiwi kumuamin KILA mtu ๐ค