" And now we pass the ball and we take a look, when you pass the ball ATTACK. HERE
You have to score goals guys!
Messi passes the ball and goes on like a machine. He smells the GOAL ".
- PEP GUARDIOLA
So forget possession today.
Tonight is about heart. About duels. About who wants it more.
Close them down. Make it ugly. Make it a fight.
And when we win the ball, hit them. Fast. Direct. No fear.
It is not about being perfect, it is about giving everything for 90mins
Tanzania U20 Call up...
Nilichotamani wale vijana wanaofanya vzr ligi kuu na wapo U20 waitwe limefanyiwa kazi ila sasa changamoto nayoona... kwanini hatuwaiti U20 waliopo nje, ama tunasubiri mpaka wakomae waje wapate Callups na watuabandon ama... ✍️🏽
Huyu Mario Rivera mhh
cy kila anachofanya mzungu ni sahihi au ndo inavotakiwa kufanywa.
Kila sehemu na utamaduni na cy dhambi kufanya hivyo ,na hiyo ndo maan ya utani wa jadi.
Nina miongo kadhaa nafuatilia PARADE za timu mbalimbali ulaya
sijawahi kuona Real madrid parade lao linaenda hadi makao makuu ya timu ya atletico WANDA METROPOLITANO
Sijawahi kuona parade la Man city linaenda hadi carrinton kwa man utd
Anachofanya SIMBA HAKIKUBALIKI🚮
🚨 Jean Girimugisha amevutiwa na project ya Yanga kinachofelisha transfer yake kwenda yanga ni maslahi tu
Girimugisha hataki kuishi kambini anataka apangiwe very expensive apartment
Pia anataka mshahara wa $40k USD = Tsh100M kwa mwezi
Wanainchi kwa masharti haya mtapata kweli?
Kama Cape Verde wataingia na mpango kama dhidi ya Spain basi uhalisia wa hii mechi ni wanaweza kutofungwa dakika 90 au zaidi.
Wana nafasi ya kusonga mbele wakiwa na bahati kidogo