#TajiriLaKihaya
Sema huku Afrika TAMAA Na UBINAFSI vinatutesa saaana aiseee๐๐
Haiwezekani nchi ambayo AJIRA ni tatizo - vijana wengi 25-35yrs HAWANA AJIRA.
Lakini kuna watu wanamiliki Kazi zaidi ya moja tena wameajiriwa serikaliniโฆ
Unapata mtu mmoja ni mjumbe wa body zaidi ya 3โฆ wengine wapo wanafanya kazi Taasisi zaidi ya 2 serikalini๐
Unapata mwalimu anafundisha VYUO zaidi ya vitatuโฆ
Unapata Daktari anatibu hospitali zaidi ya 2 - na zote kwa muda na siku maalum!
Unapata mtu amestaafu tayari kazi yake ana 65yrs+ either askari/mwanajeshi nk . Lakini bado anapewa Ukuu wa wilaya/mkoa au hata anakua BALOZI!
Sasa vijana wata ajiriwa lini?
Unapata mbunge bado ndio anakua Waziriโฆ kwa nini waziri wasiwe watu wengine kabisaa Proffessionals?
As much as serikali haiwezi ajiri kila mtu lakini i feeel bado kuna Gaps hazijakua utilized vizuriโฆ
Kama Daktari wa moyo au sikio/macho ni wachache weka programme mashuleni hata ya 10yrs wanafunzi waambiwe mapema instead ya kupoteza muda kusoma Marketing alafu wakose ajira - wa specialized hapoโฆ
Serikali identify proffessions ambazo hatuna watu wengi- weka wazi - wazazi tu invest kusomesha watoto wetu kwenye hizo nyanja- in the next 10yrs mambo yanakuwa sawa- kila mtu anakua na kazi moja!
Sijui nataka kusemaje ila matatizo mengine tunajitakia wenyewe kwa sababu ya kujuana,kulindana,Ubinafsi na Tamaa๐ฏ
@SideBare971039@Afrika_yetu1 @Muhumapatali @TanzaniaOneJezi Bro ukimwi ni easy sana kumaintain sio homa ya ini
Mimi sikujui ww binafsi ni medical personnel najua ninachokiongea na nimesha kiona. Hepatitis haina dawa bro utapewe truvada kupunguza complications but kufa ni Pi
HIV mtu anatumia ARV anaishi more than 40 yrs na safely kabisa.
@SideBare971039 @Muhumapatali @TanzaniaOneJezi Mama yako alipimwa bado ikiwa stage za mwanzo akapewa Truvada ambayo ndio inatumika kama dawa in such conditions
So kupona sio kwamba kila mtu anapona but inategemea na conditions za mtu and how anazingatia kutumia dawa.