Labda muwe munatania! Ila listen girls, hata sio ufahari kutembea na waume za watu, punguzeni kujibebesha midhambi na ma laana yanayokwepekaa, some husbands wako na curse huko kwa familia zao you go ahead and carry it around. Shame on y’all house wreckers 🚮