@SuluhuSamia@miss___yanga Watu wako wa karib ambao tuna taraj wawe washaru wako wakuu Wana zidi kusongea mbele za mola wao hivo
Kumbukumbu ya mauti ni funzo kwetu so ni wakati wa kujikurubisha zaidi kwa Allah, kufanya mema, na kujiandaa na maisha ya Akhera. Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu,
@SuluhuSamia Mama kwa heshima yako huyu bwana Ana onekan Ana kitu kabis ukikaa naye karibu nje ukuu wa mkoa Ana onekan Ana uwoni viongoz wako wengi wanaweza wasione Hilo lakin mimi Nina mtizamia Kam kiongoz bora kwa namna moja ama nyingine Ana onekan na utiif na heshima ktk nyaja baadhi
@SuluhuSamia Hongera lakini nakukumbush ktk majukum yako mche sana Allah na umuombe akupe umri mrefu wenye manufaa na ww huko akhera mama...
Na zinakua salaam dua zako pale raiya wako wakiwa salaam na Amani mama muhifadh Allah naye Ata kulinda amiin ๐คฒ๐คฒ