nikiwa campus kuna neighbor alileta dem, nilikuwa kutu mbaya kama 2 years ilibidi niskize ndio nijisaidie na arimis, so si Kuna ile kuongea kidogo before mechi ianze, dem anauliza jamaa nilikuambia naitwa aje, jamaa anacheka tu, Dem akamuambia ona ata ushanisahau, conversation
nilimeet dem kwa club! Akaniambia hapendi wanaume wenye pesa, anataka mtu genuine. Mimi nikajua finally nimepata mtu hata kama wallet yangu iko na depression. Tukaanza kudate. Kila kitu ilikuwa smooth. Akaniambia ako na sister yake tu, hakuna family drama, after
Leo kuna gari ilitokea nyuma yangu polepole nikapanick nikaanza kutembea haraka but ilikua tu nyuma. Kabla nigundue ni high schooler anafunzwa nilikua nimesweat like never before