The ones who love you will always see your value even how messed up you will become, but the ones who don't they always see you as stubborn, stupid and crazy no matter how much you value them.
@PKefand Unajua, watu tunaweza kuongea sana kuhusu ishu ya diamond na baba yake ila mwisho wa siku sisi ni watu wa nje tu hatujui uhalisia, hilo swala anajua yeye na baba yake, tumuachie yeye akiamua ata msamehe asipo amua ataacha.
@Sean_Prodigy26 @Roma_Mkatoliki Wewe ndo ume generalize ila shida inaweza kuwa ni ya kiuchumi, kifamilia au kiafya.... ila maafa ni kama vibunga, tsunami na hata vita sasa kwenye matukio ya hapo juu unaweza kuta mambo mengine yanaendelea ila kwenye matukio ya hapo chini huwezi fanya kitu.
Intergrety is not only precious it is so hard to an extent even the clergy men cant maintain it, you gotta have alot to do to keep up with your conscience.