Licha ya changamoto na kutoaminiwa, Elon alifanikiwa kubadilisha sekta ya magari na safari za anga, akithibitisha kuwa uvumilivu na ndoto kubwa vinaweza kushinda vikwazo vyovyote.
MFAHAMU Elon Musk
Elon Musk alikulia Afrika Kusini akiwa kijana mtulivu na aliyepitia dhuluma shuleni. Akiwa na miaka 12, aliuza programu yake ya kwanza.
Aliondoka Afrika Kusini akiwa na miaka 17 kuelekea Marekani kutafuta ndoto zake. Baada ya kufanikiwa kuuza kampuni ya Zip2 na baadaye PayPal, aliwekeza kwenye miradi mikubwa kama SpaceX na Tesla.