Lakini some women will never heal buana. Sahii asubuhi mbogi yangu ya unemployed tumetokea kuota jua kama lizard. Sasa kwa hii mbogi yangu kuna madem wanne na sisi mangulusumu watano. Huyo Madam amepita akitusalimia ety good morning ladies and disappointments.
Pale Mshwari napewa loan ya 15k, roho inaniambia chukua ukule but sasa shida itakuwa hapo kulipa mind you niko already na hustler fund na fuliza mamae.