Hatua hii itakuwa na athari zaidi kwenye ongezeko la bei ya mafuta. Badala ya agizo hili Rais alipaswa kuliongoza Baraza la Mawaziri kufanya maamuzi ya kisera na kibajeti yatakayowapunguzia wananchi mzigo wa kupanda kwa bei ya bidhaa na gharama za maisha .